Ole Millya, Chatanda ‘wazichapa’ mkutano wavunjika

Na Mwandishi wa Thehabari, Arusha TAARIFA zilizotufikia jana zinasema Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, James ole Millya wanadaiwa kuzipiga ndani ya kikao cha NEC Mkoa kilichofanyika kwenye ukumbi wa CCM mkoani Arusha. Chanzo cha habari cha dev.kisakuzi.com kilisema inadaiwa, Katibu wa Mkoa, Mary Chatanda ndiye alieanza kumrushia kibao Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa Ole Millya, ndipo naye akajibu mapigo kabla …

Mh.Mohammed Dewji na Waziri Mkuu wa India.

Waziri Mkuu wa India Mhe. Dkt. Manmohan Singh (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Mohammed Dewji katika hafla fupi ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Balozi wa India nchini katika Hoteli ya Kempinski jijini Dar hivi karibuni.Wa kwanza kushoto ni Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur. Waziri Mkuu wa India Mhe. Dkt. Manmohan Singh (katikati) …

Mh. Pinda akutana na naibu waziri mkuu wa Ireland Dodoma leo.

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland Mhe.Eamon Gilmore (T.D) alipokutana  naye ofisini kwake leo mjini Dodoma .Waziri wa Ireland yupo nchini kwa ziara fupi ya kikazi . Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu wa Mambo ya Nje na Biashara …

Tamasha La Jinsia 2011 Laja!

    Na Edson Kamukara MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na mtandao wa mashirika watetezi wa haki za binadamu,usawa wa kijinsia na ukombozi wa wanawake nchini (FemAct) na washirika wengine, wanaandaa Tamasha la Jinsia litalofanyika Septemba.  

Shughuli za kijamii zachafua Ziwa Victoria

Mwandishi Wetu Kwimba USIMAMIZI mbaya sheria za uhifadhi wa mazingira na shughuli za kila siku za kijamii ni sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa uchafuzi wa mazingira katika ziwa Victoria. Hayo yalisemwa na msimamizi wa mradi wa uhifadhi wa mazingira ya ziwa Victoria awamu ya pili (LVEMP II) wilayani Kwimba, Radhimina Mbilinyi kwenye maadhmisho ya siku ya mazingira duniani yaliyofanyika kiwilaya …