WAZIRI MKUU AZISHUKURU MAREKANI, IRELAND KWA MSAADA WA DOLA MILIONI 8.7

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amezishukuru Serikali za Marekani na Ireland kwa kuongeza fedha za misaada kiasi cha dola za Marekani milioni 8.7 kwa ajili ya mradi wa kuboresha lishe nchini (Scaling Up Nutrition – SUN) kuanzia mwaka huu. Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Jumapili, Juni 12, 2011) wakati akiendesha kikao cha mazungumzo ya viongozi wa juu (high-level Roundtable meeting) kwenye …

AfDB will be held in Arusha Tanzania next year

During the just ended 2011 African Development Bank Group (AfDB) Annual Meetings that were held in Lisbon, Portugal from 9th to 10th June 2011, the President of the Bank, Dr. Donald Kaberuka announced that the next year meetings of the Bank will be held in Arusha Tanzania. Again, this is another unique chance for Tanzania to ‘market’ herself in international …

Clinton warns against “new colonialism” in Africa

LUSAKA (Reuters) – Africa must beware of “new colonialism” as China expands ties there and focus instead on partners able to help build productive capacity on the continent, Secretary of State Hillary Clinton said. Clinton, asked in a television interview in Zambia on Saturday about China’s rising influence on the continent, said Africans should be wary of friends who only …

Maoni yangu juu ya dawa ya babu wa Loliondo

NIMEGUSWA na suala hili juu ya dawa ya Babu wa Loliondo, mkoani Arusha, hivyo nami nimeamua kutoa maoni. Kwa kuwa suala la tiba itolewayo na Babu wa Loliondo ni suala la kiimani, twaweza kulikabili na kulipima kwa kutumia vitabu vya imani. Katika Biblia Mathayo 24:24 Yesu anawaambia wanafunzi kuwa kkadiri mwisho wa dunia unavyokaribia, watajitokeza makristo na manabii wa uongo …