Rais Kikwete akutana na Mh. Hillary Clinton Ikulu Dar!

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mheshimiwa Hillary Clinton mara baada ya kufanya mazungumzo ya kiserikali huko Ikulu tarehe 13.6.2011 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo ya tete-a-tete na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani Mheshimiwa Hillary Clinton huko Ikulu tarehe 13.6.2011. Rais Jakaya Kikwete akiwa katika Press Conference na Mheshimiwa Hillary Clinton huko Ikulu tarehe 13.6.2011 Rais Jakaya Kikwete …

NCCR-Mageuzi watoa tuhuma zito bungeni

  Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma CHAMA cha NCCR Mageuzi kupitia mbunge wao wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kimetoa tuhuma nzito za rushwa zinazofanywa na baadhi ya wabunge na mawaziri na kimedai kinawajua viongozi hao kwa majina. Kafulila ametoa tuhuma hizo leo akichangia Mpango wa Maendeleo ya Miaka Mitano kuanzia 2011/2016 ambapo alisema kuwa pamoja na kuwepo kwa …

FFU Dodoma wapambana na wanafunzi UDOM

Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma KIKOSI cha Kutuliza Ghasia (FFU) jana mjini hapa kililazimika kuwatawanya kwa mabomu ya machozi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Kitivo cha Sayansi ya Jamii na Sanaa ya Lugha ambao waligoma na kufanya maandamano kuelekea Bungeni kwa madai ya kukutana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Hata hivyo wanafunzi hao hawakufanikiwa baada ya FFU kutanda karibu …

MAHAKAMA YAAMURU ASKOFU MOKIWA AKAMATWE

        Na Janeth Mushi, Thehabari, Arusha    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, chini ya Jaji Kakusulo Sambo imeamuru kukamatwa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk. Valentino Mokiwa na Stanley Hotay kwa kukiuka amri ya Mahakama na kumsimika Askofu, Stanley Hotay. Amri hiyo imetolewa ikiwa ni siku mbili tangu kusimikwa kwa askofu huyo, ambapo Ijumaa iliyopita mahakama …

Dr. Shein asema dawa ya mfumuko wa bei ni kuimarisha sekta ya kilimo

 Zanzibar                                                                                                 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Mjini Magharibi amesema kuwa dawa ya mfumko wa bei ni kuimarisha sekta ya kilimo na kuzalisha kwa wingi vyakula vinavyotumiwa sana na wananchi hapa nchini.  Dk. Shein aliyasema hayo leo …