“Anti-Corruption Squard” wametua ndani ya kambi FFU- Ughaibuni !

Lile song lililojipatia umaarufu katika kila kona “Rushwa ni Adui wa Haki” kutoka kwao Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake Ujerumani,sasa wimbo huo umetua na unasikika katika kambi ya FFU www.ngoma-africa.com .song hilo lenye ujumbe muhim kwa jamii ni utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja, wa FFU ughaibuni. wimbo huo wenye mistari mitatu mitamu na …

Tanzania Lutherans Reject Aid From ‘Pro-Gay Marriage’ Churches

By Fredrick Nzwili and Kevin Eckstrom Religion News Service NAIROBI (RNS/ENI) The Evangelical Lutheran Church in Tanzania says it will not accept money or help from groups that allow or support the legalization of same-sex marriages. “Those in same-sex marriages, and those who support the legitimacy of such marriage, shall not be invited to work in the ELCT,” says a …

FAZUL ABDULLAH MOHAMMED – Mkuu wa Al-Qaeda Africa Mashariki auawa

• Ni mkali wa lugha tano ikiwamo Kiswahili • ‘Alishuhudia’ MV Bukoba ikizama Joseph Hiza na Mashirika ya Habari KIONGOZI wa Mtandao wa Kigaidi wa Al-Qaeda kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Fazul Abdullah Mohammed ameuawa na Jeshi la Serikali ya Mpito la Somalia usiku wa kuamkia Jumatano ya wiki iliyopita. Kifo hicho ni pigo kubwa katika utekelezaji wa operesheni za …

MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Kagame yanayoshirikisha klabu bingwa za nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Klabu 12 zitashiriki katika mashindano hayo yatakayofanyika nchini kuanzia Juni 25 hadi Julai 9 mwaka huu. Tumechukua uamuzi huu mgumu wa kuandaa mashindano haya kwa …

POULSEN, MAKOCHA KUTETA DAR

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen pamoja na Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Sunday Kayuni watakutana na makocha 32 wa klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza. Mkutano huo utafanyika Juni 20 mwaka huu Ofisi za TFF kuanzia saa 3 asubuhi. Pamoja na mambo mengine, mkutano huo ni maalumu kwa Poulsen kueleza …