JK: Maendeleo ya kiuchumi Africa yanakwamishwa na fedha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete amesema changamoto kubwa inayokwamisha ukuaji wa kasi wa uchumi na maendeleo ya kasi zaidi ya Bara la Afrika unasababishwa na ukosefu wa fedha za kutosha kugharamia miradi ya maendeleo. Rais Kikwete amesema kuwa kutokana ukweli kwamba njia za jadi za kupata fedha za kutosha za kuharakisha ukuaji wa kasi zaidi …

Vikongwe wafunga ndoa mkoani Rukwa

WAZEE wawili wakazi wa mji wa Namanyere wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wameandika historia ya pekee kwa kufunga ndoa wakiwa na umri mkubwa isivyo kawaida. Wazee hao Mathias Kisokota (94) na Uria Mwimanzi (80) ambao wamefunga ndoa hiyo ya kihistoria katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Antony, parokia ya Namanyere wilayani Nkasi mkoani Rukwa. Ibada ya ndoa hiyo iliyofungwa jana, iliongozwa na …

Rais Kikwete haudhuria mkutano wa biashara Malaysia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili mjini Kuala Lumpur, Malaysia leo, Juni 19, 2011 kuungana na viongozi wenzake kutoka nchi mbalimbali katika mkutano wa mwaka huu wa Smart Patrnership Dialogue. Mkutano huo ambao umekuwa unafanyika kila mwaka kwa miaka 16 sasa tokea mwaka 1995, unatokana na uamuzi wa wakuu wa nchi za Jumuia ya Madola …

Former President Chiluba is dead!

  Second President of Zambia Fredrick Titus Jacob Chiluba has died. Chiluba died of a heart attack in the early hours of today, Saturday, shortly after mid night. His pokeperson Emmanuel Mwamba confirmed that Chiluba died at his home in Kabulonga, in the capital Lusaka. He explained that Chiluba was with his lawyers most of the time on Friday but …