MHE.FREEMAN MBOWE AANZA KURUDISHA SHANGINGI LAKE

Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe ambaye ameamua kurudisha shangingi lake ili lipigwe mnada kama njia ya kupinga mashangingi kama hilo chini serikalini na wabunge. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA 2011/2012: Utangulizi. Mnamo tarehe 21/06/2011 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Makadirio na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2011/2012 . Pamoja …

Obren Cucovick aanza mazoezi na Azam FC

Na Jaffer Idd MLINDA mlango mpya wa kimataifa wa timu ya Azam FC Obren Cucovick kutoka Serbia ameanza mazoezi na klabu yake mpya ya baada ya kutua nchini majuzi akitokea kwao, alipokwenda kwa ajili ya kujindaa na heka heka za mashindano ya Ligi kuu Tanzania bara inayotarajiwa kunaza kutimua vumbi mwezi Agosti. Jambo Leo ilishuhudia kipa huyo jana akiwa ameanza …

SERIKALI KUANGALIA UPYA GHARAMA ZA BEI YA MAFUTA

Na Veronica Kazimoto – MAELEZO, Dodoma 21/6/2011, SERIKALI inaandaa utaratibu wa kupitia upya mchanganuo wa tozo zilizopo katika nishati ya mafuta kwa lengo la kupunguza makali ya maisha na bei ya nishati hiyo inayosababisha mfumko wa bei ya bidha mbalimbali nchini. Akijibu swali la Mbunge wa Handeni Dk. Abdallah Kigoda leo mjini Dodoma kuhusu athari za mfumuko wa bei kwa …

Rwanda yajiunga na muhula wa vyuo vikuu Afrika Mashariki

Na James Gashumba, EANA KIGALI, (EANA) -RWANDA imefanya maamuzi ya kuoanisha muhula wake wa vyuo vikuu ili uendane na vyuo vikuu vingine vya nchi za Afrika Mashariki. Uamuzi huo umefanywa na baraza la mawaziri la nchi hiyo na kupongezwa na wanafunzi kwa kuwa sasa wanaweza kusoma katika nchi nyingine za Afrika Mashariki bila kuwa na mashaka ya namna ya kupata …