HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2011/2012 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa Hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria …

MAFUNZO KWA MAKATIBU WAKUU KUFANYIKA

Mafunzo kwa ajili ya mfumo wa uhamisho wa wachezaji (Transfer Matching System-TMS) na usajili wa wachezaji kwa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom yatafanyika kwa siku tatu kuanzia Juni 27 hadi 29 mwaka huu. Washiriki wa mafunzo hayo yatakayofanyika makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ni makatibu wakuu na mameneja wa TMS (TMS Managers) wa klabu …

VIINGILIO KAGAME CASTLE CUP 2011 VYATAJWA

Michuano ya Kagame Castle Cup 2011 inaanza keshokutwa (Juni 25 mwaka huu) ambapo viingilio kwa kituo cha Dar es Salaam vitakuwa VIP A sh. 15,000, VIP B sh. 10,000, VIP C sh. 7,000, viti vya rangi ya chungwa sh. 5,000, viti vya bluu sh. 3,000 na sh. 2,000 kwa viti vya kijani. Kwa siku ambazo timu za Yanga au Simba …

Waliosimamishwa UDOM sasa kurejeshwa kwa mafungu

Dodoma WANAFUNZI zaidi ya 400 waliofukuzwa chuo kikuu cha dodoma hivi karibuni kwa kuandamana kudai fedha za kwenda mafunzo kwa vitendo watarejeshwa kwa mafungu huku vinara wa maandamano hayo wakikabiliwa na hatari ya kufukuzwa moja kwa moja ili iwe fundisho kwa wanafunzi wengine wanaogoma. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (udom), Prof Idris Kikula alisema jana chuoni hapo kuwa, …