THE CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP CHAMPIONSHIP BASIC RULES

C E C A F A TO ALL TEAM LEADERS THE CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP/ CLUB CHAMPIONSHIP BASIC RULES The purpose of this circular letter is to bring to your notice some of the important rules and regulations, which govern our tournaments. These rules must be observed strictly. 1. PRE-MATCH MEETING Pre-match meetings will be held at 10.00 a.m. one …

Tanapa kuwashindanisha wanahabari, vyombo vya habari

Na Joachim Mushi, Morogoro SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeanza kuwashindanisha waandishi wa habari pamoja na vyombo vya habari kuripoti taarifa mbalimbali za mbuga hizo ikiwa ni mkakati wa kuzitangaza mbuga hizo ambazo zimekuwa na mchango mkubwa kwa taifa. Kauli hiyo imetolewa jana mjini hapa na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Alan Kijazi alipokuwa akifungua warsha ya Jukwaa la …

Lowassa avunja ukimya bungeni, aitaka Serikali kufanya maamuzi magumu

WAZIRI Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa(CCM) amevunja ukimya kwa mara ya kwanza Bungeni kwa kuamua kutema cheche kwa kuitaka Serikali kuchukua maamuzi mazito katika mambo mbalimbali nchi iweze kusonga mbele na anaamini hilo linawezekana. Amesema ni bora viongozi waliopo Serikali wakawa wanafanya maamuzi kuliko kutofanya maamuzi ni makosa makubwa ni bora ukaalaumi kwa maamuzi uliyofanya kuliko kulaumiwa …

Mbunge aanguka bungeni na kuzirai

Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma MBUNGE wa Viti Maalumu Mwanakhamisi Kassim Said (CCM) ameanguka ghafla na kuzirai Bungeni wakati vikao vya Bunge vinaendelea na kupelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kupata msaada zaidi. Tukio hilo lilitokea jana mchana mjini hapa wakati wabunge wakiendelea kuchangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya mwaka 2011/2012. Hali hiyo ilishtua idadi kubwa wa …

Pinda mgeni rasmi siku ya Serikali za Mitaa

Dodoma WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Serikali za Mitaa ambayo mwaka huu Kitaifa yatafanyika katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa. Kilele cha maadhimisho hayo ni tarehe Mosi Julai na sherehe za maadhimisho hayo zinaanza kesho Juni 24 nchini kote. Akizungmza na waandishi wa habari jana,Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu …