TGNP kutoa mafunzo kwa wanaharakati mikoa mitano

Kuanzia tarehe 28 Juni hadi 1 Julai 2011, kwa muda wa siku nne, Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) utasambaza wafanyakazi wake katika kanda tano nchini kukutana na wanaharakati wa ngazi ya jamii kwaajili ya warsha ya kujengeana uwezo na nguvu za pamoja katika kujenga tapo la mabadiliko katika jamii, ambalo litachangia kuwepo kwa jamii yenye mabadiliko, yenye kutambua na kuthamini …

Mwanamke mwenye maziwa makubwa ya asili kuliko wote duniani

Meet Norma Stitz. Née Annie Hawkins-Turner, the 52-year-old for Atlanta, Georgia, has the world’s largest natural breasts (as reportedly confirmed by Guinness) — 102ZZZs. That’s 3.5 feet of cleavage and each side weighs in at 56 pounds. Hawkins-Turner made headlines on Thursday after appearing on UK’s “This Morning” to talk about her assets with hosts Phillip Schofield and Jenni Falconer. …

Bungeni Dodoma Leo.

Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia habari  mbalimbali za magazeti yanayochapishwa kila siku nje ya ukumbi wa Bunge leo, Dodoma. Wakuu wa mikoa na makatibu tawala kutoka mikoa mbalimbali nchini wakifuatilia kipindi cha Bunge cha maswali na majibu ya makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu leo mjini Dodoma. Waziri mkuu wa Jamhuri ya …

KAGAME – CASTLE CUP 2011 TIME TABLE

KAGAME – CASTLE CUP 2011 25th June TO 10th July 2011, Tanzania Team Fixture list GROUP A SIMBA(TZ), VITAL O’(BUR), ETINCELLES (RWA), OCEAN VIEW (ZNZ), RED SEA (ETR) GROUP B YANGA(TZ), EL MEREIKH (SN),BUNAMWAYA (UG), ELMAN F.C. (SM) GROUP C APR (RWA), ST. GEORGE (ETH), ULINZI (KN), PORTS (DBT), (CLASSIFICATION: GROUP A 1st 2nd & 3rd GROUP B, 1st and …