Mnyika aonesha wasiwasi na kauli ya Pinda

TAREHE 25 na 26 Juni 2011 Vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitangaza kwamba katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itazinduliwa tarehe 26 Aprili 2014 katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano. Kufuatia ahadi hiyo ya Waziri Mkuu, baadhi ya wananchi wa Ubungo na vyombo mbalimbali vya habari mmetaka kupata kauli yangu kuhusu tamko husika. …

TWIGA STARS YAINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA COSAFA

Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini Juni 24 mwaka huu kwenye hoteli ya Itumbi iliyoko Mwembechai, Dar es Salaam kujiandaa kwa michuano ya wanawake ya COSAFA itakayofanyika jijini Harare, Zimbabwe. Twiga Stars inayofundishwa na Kocha Charles Boniface akisaidiwa na Nasra Mohamed imeingia kambini ikiwa na wachezaji 25 na inafanya mazoezi katika viwanja vya …

Vikosi vya Yanga na El mereikh jana

Cecafa Kagame Castle Cup 2011 Match No. 4, Sun June 26, 4pm National Stadium [Dar es Salaam] Young Africans [Tanzania v El Mereikh [Sudan] YOUNG AFRICANS: 19. Yaw BERKO (Gk) 17. Godfrey TAITA 14. Oscar JOSHUA 24. Chacha MARWA 23. Nadir HAROUB (captain) 5. Nurdin BAKARI 18. Julius MROPE 16. Rashid GUMBO 28. Davies MWAPE 10. Jerry TEGETE 7. Kigi …

TWIGA STARS- MICHUANO YA COSAFA

Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini Juni 24 mwaka huu kwenye hoteli ya Itumbi iliyoko Mwembechai, Dar es Salaam kujiandaa kwa michuano ya wanawake ya COSAFA itakayofanyika jijini Harare, Zimbabwe. Twiga Stars inayofundishwa na Kocha Charles Boniface akisaidiwa na Nasra Mohamed imeingia kambini ikiwa na wachezaji 25 na inafanya mazoezi katika viwanja vya …

Yanga v El Merreikh line ups