Gov. Blogojevich apatikana na hatia katika kesi ya rushwa!

Yule Gavana aliyejiudhuru kutoka jimbo la Illinois hapa Marekani, Rod Blagojevich amepatikana na hatia huko Chicago katika kesi ya  rushwa iliyokuwa inamkabili. Mkuu huyo anayefahamika zaidi kwa ile kashfa ya kutaka “kuuza” nafasi ya Ubunge wa jimbo la Illinois, iliyoachwa wazi na Rais Obama baada ya kuchaguliwa kuwa rais mwaka 2008. Mbali na kesi ya kuuza kiti cha Obama, Blagojevich anakabiliwa na kesi …

Hotuba ya Waziri Kombani huko Sri Lanka leo.

  STATEMENT BY THE PRESIDENT OF THE 49TH ANNUAL SESSION OF THE ASIAN-AFRICAN LEGAL CONSULTATIVE ORGANISATION (AALCO) HON.CELINA O. KOMBANI (MP) AT THE  50TH ANNUAL SESSION OF AALCO, COLOMBO, SRI LANKA ON 27TH JUNE, 2011     Your Excellency, Rauff Hakeem, Minister for Justice of the  Democratic Socialist Republic of Sri Lanka, Your  Excellency, Prof. G. L. Peiris, Minister for …

Watendaji SMZ watakiwa kubadilika kiutumishi

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kubadilika katika kuwatumikia wananchi pamoja na kutekeleza majukumu yao. Dk. Shein aliyasema hayo alipokuwa akifunga Semina Elekezi juu ya Kuimarisha Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huko …

JK atia saini kitabu cha maombolezo kifo cha Chiluba

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo asubuhi ametia saini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Zambia, kuomboleza kifo cha Dkt. Frederick Chiluba, Rais wa zamani wa Zambia. Mara baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo, Rais Kikwete na Mkewe, akiongozana na Mama Salma ametoa rambirambi kwa wananchi wa Zambia kupitia kwa balozi wa Zambia hapa nchini Bibi Mavis Lengalenga Muyunda na …

Pinda: Wakuu ya mikoa, wilaya simamieni halmashauri

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Wakuu wa Mikoa na wa Wilaya wana wajibu wa kuzisimamia Halmshauri zote nchini kuhakikisha kazi ya kuleta maendeleo na kuondoa umasikini inatekelezwa vizuri na Halmashauri zinazingatia thamani ya fedha (Value for Money) katika utekelezaji wa miradi mbalimbali. Mhe. Pinda alikuwa akizungumza katika Semina Elekezi kwa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa …

Ali Kiba apata ajali

Mororogo MWIMBAJI Ali Kiba na wacheza shoo wake wamenusurika kufa baada ya kupata ajali mbaya katika eneo la Mikumi,wakitokea Mbeya kuelekeaJijini Dar es salaam, kwenye barabara kuu ya Morogoro-Iringa ambapo saba wamejeruhiwa na watatu kati yao kulazwa katika hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kwa matibabu. Mwandishi wa habari hizi alishuhudia majeruhi hao wakiwa wamelazwa wadi namba moja ya hospitali …