MADAKTARI, WAUGUZI WATAKIWA KUOKOA MAISHA YA WAGONJWA

Na Aron Msigwa – MAELEZO 28/6/2011, Moroni, COMORO Madaktari na wauguzi wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaowahudumia. Wito huo umetolewa leo na Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) alipotembelea wodi ya watoto katika hospitali ya Rufaa ya El Maarouf iliyoko mjini Moroni nchini Comoro kuona namna huduma …

Benki ya dunia kuendelea kuisaidia Zanzibar

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar BENKI ya Dunia imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi yake ya maendeleo na kueleza matumaini yake kutokana na juhudi zinazochukuliwa na serikali katika kuimarisha uchumi na huduma za kijamii. Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, John Mclntire aliyasema hayo leo wakati alipofika Ikulu mjini Zanzibar kwa ajili ya kuaga na kuzungumza na Rais …

TRA yakwamisha maonesho ya Saba Saba kuanza kwa wakati

Na Joachim Mushi WAKATI Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa ya Saba Saba yakitangazwa kuanza jana jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere bado idadi kubwa ya mabanda ya maonesho katika viwanja hivyo hayajafunguliwa na wahusika wameonekana wakiendelea na maandalizi kukamilisha hatua mbalimbali katika mabanda yao. Uchunguzi uliofanywa na mtandao huu jana katika viwanja hivyo ulibaini idadi …

Tigo mdhamini mkuu Saba Saba 2011

KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Tigo ni mdhamini mkuu wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba ya mwaka huu, yanayotarajia kuanza leo katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kufuatia udhamini huo tigo wametoa kiasi cha shilingi milioni nne ambazo zitagharamia muda wa maongezi, simu 20 aina ya blackberry, simu 20 aina ya nokia na …