Wahasibu, wakaguzi 1,911 wafeli mitihani yao

Na Joachim Mushi JUMLA ya Wahasibu na Wakaguzi 1,911 ikiwa ni asilimia 52 ya wahasibu na wakaguzi waliofanya mtihanai wa ngazi ya ATEC I, ATEC II na mtihani wa awali (Foundation Stage A & B), na mtihani wa kati (Intermediate Stage Modules C & D) na mtihani wa mwisho (Final Stage Module E & F) wamefeli mitihani hiyo. Kwa mujibu …

NMB yawafadhili wajasiriamali kushiriki Saba Saba

Na Joachim Mushi BENKI ya NMB imewawezesha wajasiriamali wa dogo na wakati kutoka mikoa mbalimbali nchini kushiriki Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Jumla ya wajasiriamali 45 wamelipiwa gharama zote za ushiriki wa maonesho hayo ikiwa ni pamoja na nauli na gharama za kusafirisha bidhaa zao mbazo wamekuja …

Kenya chosen as top investment destination

Kenya has been named among top investment destinations in Africa, according to a survey on international investors. The survey conducted by the Africa Business Panel among 800 business professionals involved with Africa shows that South Africa, Nigeria and Kenya are the best African countries on the continent for investment in 2011 in that order. Uganda, Rwanda and Tanzania were also …

Tigo yajizatiti na mawasiliano ya intaneti Sabasaba

Katika jitihada zake za kuhakikisha kuwa wateja wake wanapata huduma bora za mawasiliano wakati wa maonyesho ya 35 ya biasahara ya kimataifa ya saba saba, kampuni ya simu za mkononi ya Tigo imeweka mtambo wa kisasa wa intaneti aina ya 3.5G utakaotumika wakati wote wa maonyesho hayo, Afisa uhusiano wa Tigo Jackson mmbando alisema jana kuwa mtambo huo wa kisasa …

Twiga Stars kuangwa leo TFF

) saa 7 mchana kwenye ofisi za TFF kabla ya safari yake ya Julai Mosi kwenda Harare kushiriki michuano ya COSAFA. Twiga Stars inayofundishwa na Kocha Charles Boniface akisaidiwa na Nasra Mohamed itaondoka saa 11 alfajiri kwa ndege ya Kenya Airways kupitia Nairobi ikiwa na msafara wa watu 26. Katika msafara huo wachezaji ni 19 huku benchi la ufundi likiwa …