Dk. Bilal: Tanzania ni tajiri sema haijatumia fursa zilizopo

Na Joachim Mushi SERIKALI imesema licha ya Tanzania kuwa na rasilimali nyingi zaidi, utajiri mkubwa na mazao na bidhaa mbalimbali ambazo zina soko nchi za nje, lakini bado inakabiliwa na changamoto ya namna ya kuzitumia fursa hizo. Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, kwenye Maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa ‘Saba Saba’ …

Kikwete: Hatuwezi kuingilia masuala ya ndani ya nchi jirani

Malabo, Equatorial Guinea RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesisitiza kuwa kamwe Tanzania haitaingilia masuala ya ndani ya nchi yoyote jirani kwa sababu nchi hiyo haiwezi kuwa sehemu ya nguvu za kunyumbisha nchi nyingine. Aidha, Rais Kikwete ameahidiwa kuwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) litajaribu kuwashawishi wabia wa maendeleo duniani kuisaidia Tanzania …

Kikwete akumbushia chenji ya Tanzania Equatorial Guinea

RAIS wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Kikwete na Waziri wa Misaada ya Kimataifa ya Maendeleo wa Uingereza, Mheshimiwa Andrew Mitchel wamezungumza kuhusu fedha ambazo Tanzania inadai ilipwe na kampuni ya kuuza silaha ya nchini British Aerospace (BAE). Katika mazungumzo hayo kwenye Ukumbi wa Palace of Conferences katika kijiji cha Sipopo, nje kidogo ya mji mkuu wa Equatorial Guinea katika Kisiwa cha …

Basketball News!!…Alpha Kisusi awarded scholarship to Canada

  Alpha Kisusi, 19 years old boy, Basketballer currently playing for Vijana Basketball Club, Most Valuable Player (MVP) 2011 at our National Basketball League (NBL), National Basketball Team Player, Last year was trained by Hasheem Thabeet (NBA Player) and Steve Smith (former NBA Star) and he was among the 3 boys who went to USA for further training as part …