Huduma Saba Saba ndani ya banda la NSSF

Ofisa Habari Mwandamizi na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Alfred Ngotezi akimuhudumia mmoja wa wateja waliotembelea Banda la NSSF kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Temeke Dar es Salaam. Mmoja wa wafanyakazi wa NSSF akimuhudumia mwananchi aliyewatembelea katika banda lao Saba Saba.

Daraja la Kigamboni kuanza kujengwa Desemba

Mmoja wa wafanyakazi wa NSSF ndani ya Banda lao katika viwanja vya Saba Saba, akieleza namna ya muonekano wa Daraja la Kigamboni litakavyokuwa na namna litakavyofanya kazi baada ya kukamilika. Na Joachim Mushi UJENZI wa Daraja ambalo limekuwa likisubiriwa kwa hamu na wananchi wengi hasa wakazi wa Mji wa Kigamboni unatarajia kuanza Desemba mwaka huu. Akizungumza na mtandao wa dev.kisakuzi.com …

DIT wavumbua ‘mbadala’ wa mgawo wa umeme

Mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT), Noel Ngomo akitoa maelezo namna kifaa hicho kinachotunza umeme kinavyofanya kazi. Na Joachim Mushi TAASISI ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) imebuni kifaa kinachoweza kuifadhi umeme na kutumika pale umeme unapokatika, huku kikiwa na uwezo wa kufanya kazi kwa kujiongoza chenyewe. Kifaa hicho chenye uwezo wa kuifadhi umeme wenye …

Yanga yaingia Robo Fainali Kagame Cup

Kikosi cha timu ya Yanga GOLI la mshambuliaji, Davies Mwape wa Yanga limeivusha timu hiyo katika hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea Tanzania kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mwape aliandika goli hilo kwa Yanga kwa shuti kali kutoka katikati ya uwanja ikiwa imesalia dakika moja ya nyongeza. Hata hivyo awali kadri muda ulivyokuwa …

Twiga Stars yatua Harare kuikabili Botswana, COSAFA

Baadhi ya wachezaji wa Harare, Twiga Stars imewasili salama hapa Harare leo mchana kwa ajili ya michuano ya wanawake ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika (COSAFA) ambapo imefikia hoteli ya Tower Rainbow. Itacheza mechi yake ya kwanza kesho saa 9.15 kwa saa za hapa dhidi ya Botswana. Mchezo huo wa kundi B utafanyika kwenye Uwanja …

Dk. Bilal akizindua redio Sibuka FM Saba Saba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikagua moja ya Banda la Mjasiliamali wakati alipotembelea Banda la benki ya NMB muda mfupi baada ya kufungua rasmi maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa. Picha na Muhidin Sufiani-OMR. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akikata utepe kuzindua, Redio Sibuka …