Mbunge aufagilia utendaji wa Serikali

Mbunge Neema Mgaya Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Viti Maalumu CCM, Neema Mgaya, ameipongeza serikali kwa kuwawezesha vijana wanaosoma elimu ya juu kupata mikopo na kuendelea na masomo yao. Akichangia hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu, mwishoni mwa juma, Neema, alisema serikali imetumia sh. bilioni 185 kwa ajili ya kuwakopesha vijana 96,328, hapa nchini. Sambamba na hilo, mbunge huyo anayewawakilisha …

Rais Ondimba wa Gabon aomba msaada wa kufundishwa Kiswahili!

   Na Salva Rweyemamu Tanzania imeombwa kuisaidia Gabon kubuni, kuanzisha na kusimamia mitaala inayofaa kuanzisha ufundishaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za nchi hiyo kufuatia uamuzi wa Serikali ya Gabon kuanza kufundisha lugha hiyo tokea elimu ya msingi. Aidha, Rais wa Gabon, Mheshimiwa Ali Bongo Ondimba amemwomba binafsi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho kusaidia …

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA MAONYESHO YA 35 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua rasmi maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa , wakati alipotembeleea maonyesho hayo katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Dar es Salaam, leo Julai 01, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMsanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bendi ya Mjomba, …

Indian Women’s Association organize fundraising for fistula

SOME of the participants in “fud n fun’ 11” at kisutu secondary school ground tasting the Indian dish prepared when Dar Indian WomThe fundraising event organized by DIWA at Kisutu Secondary School ground. The fundraising event organized by DIWA at Kisutu Secondary School ground.

Mama Mwanamwema Shein na mkutano na vikundi anuai Jimboni Magogoni

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mwanamwema Shein akizungumza na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha Seif Iddi wakiwa katika Mkutano wa kuonana na vikundi mbalimbali vya Jimbo la Magogoni mkutano huo ulifanyika jana katika Tawi la CCM Mwendapole liliopo Welezo, Wilaya ya Magharibi Unguja. (picha na Haroub Hussein)

Tatizo la umeme sasa ni janga la taifa-Mnyika

John Mnyika Mbunge wa Ubungo na Waziri Kivuli wa Nishati na Madini kambi ya upinzani. TATIZO sugu la mgawo wa umeme ambalo sasa limekomaa na kuwa janga la taifa limetokana na ufisadi na udhaifu wa kiuongozi na kiutendaji ambao umeikabili sekta ya nishati nchini kuanzia awamu ya pili, likaongezeka katika awamu ya tatu na kukomaa katika awamu ya tatu ya …