Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ofisa Habari wa wizara hiyo, Asa Mwambene akimuelezea mmoja wa wananchi shughuli mbalimbali zinazofanywa na wizara hiyo alipotembelea banda lao kwenye Maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa jijini Dar es Salaam.

Upinzani waitaka BAE ilipe haraka chenji ya Tanzania

Dodoma KAMBI ya Upinzani Bungeni, imeunga mkono juhudi za Serikali za kupinga nia ya, Kampuni ya BAE systems ya Uingereza ya kutaka kulipa fedha za Rada sh. bilioni 75.2 za Tanzania kupitia kwa Asasi zisizo za kiserikali za Uingereza. Pia imeitaka kampuni hiyo ya BAE systems kulipa fedha hizo haraka iwezekanavyo, na kutaka wahusika wote wa kashfa ya rada, akiwemo …

Waziri Pinda atembelea banda la PPF SabaSaba

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadlishana mawazo na Meneja Uhusiano wa PPF Lulu Mengele (kushoto) na mama mzazi wa Mwanafunzi anayelipiwa ada na PPF chini ya mafao ya elimu Rachel Mwichumu (kulia) mara baada ya Waziri Mkuu kutembelea banda la PPF na kutoa mkoba wa madaftari kwa Ernest Mwichumu kwenye maonesho ya 35 ya kimataifa ya biashara ya Dar es Salam. …

Makamu wa Rais Dk Bilal akitembelea mabanda SabaSaba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Biala, akisikiliza maelezo ya mjasiliamali, Angela John, kuhusu mashine ya Kusokota, wakati alipotembelea katika Banda la Sido kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere. Picha na Muhidin Sufiani-OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib …

Tanzania itanufaika na GS1 kibiashara-Dk Bilal

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi huduma mpya ya Mfumo wa Utambuzi wa Bidhaa Tanzania, (Global Standard 1 ), wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Julai 04, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR Na Joachim Mushi MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal amesema …

WAZIRI MKUU KWENDA KOREA KUSINI LEO

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda anatarajiwa kuondoka nchini kesho (Jumanne, Julai 05, 2011) kwenda Korea Kusini ambako atazindua meli ya uchimbaji mafuta iitwayo Poisedon ambayo inajengwa katika bandari ya Geoje. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, uzinduzi huo utafanyika Ijumaa, Julai 8, 2011 katika mji wa Busan ambao uko kusini mwa nchi …