The launch of Kili Jivunie Utanzania Campaign

From Left Kilimanjaro Premium Lager Brand Manager, George Kavishe, Tanzania Breweries Limited board member, Ali Mwaimu, TBL Managing Director, Robin Goetzsche, TBL Board Director, Arnold Kileo, TBL board member, Geoffrey Msella, the TBL Marketing Director, David Minja and the TBL External Affairs and Communications Manager Emma Orio toast to signify the launch the Kili Jivunie uTanzania Campaign at the National …

Simba yaingia nusu fainali Kagame, yaichapa Bunamwaya 2-1

Mchezaji wa timu ya Simba, Haruna Moshi (kulia) akipiga mpira huku pembeni yake akizuiwa na mchezaji Seku Ronald wa timu ya Bunamwaya katika mchezo war obo fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika Uwanja wa Taifa wa jijini Dar es Salaam. Simba iliibuka mshindi katika mchezo huo baada ya kuichapa Bunamwaya magoli 2 kwa moja, kwa ushindi huo Simba imeingia katika …

Serikali itekeleze makubaliano ya AU kuhusu walemavu-ICD

Na Joachim Mushi KITUO cha Habari Kuhusu Ulemavu (ICD) kimeiomba Serikali kuanza utekelezaji wa makubaliano ya mkataba wa watu wenye ulemavu ulioridhiwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa (AU), tangu mwezi Mei mwaka jana. Asasi hiyo mwanaharakati kwa wenye ulemavu imesema inapatwa na hofu kuamini kwamba Serikali ina nia ya dhati ya kutekeleza mkataba huo wa watu wenye ulemavu, …

TATIZO LA MAJITAKA HOSTELI ZA MABIBO KUPATIWA UFUMBUZI

Na Veronica Kazimoto–MAELEZO 5/07/2011 Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) umekiri kuwapo kwa tatizo la maji taka yanayotoka katika Hosteli za Mabibo kuelekea Mto Kisiwani ulioko Ubungo Kisiwani jijini Dar es Salaam, hali inayosababisha kero kubwa kwa wananchi wanaoishi karibu na hosteli hizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala, Prof. Yunus …

WAZIRI MKUU ATAKA UHARAMIA UPEWE MSUKUMO NA AU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema suala la uharamia linahitaji kupata nguvu zaidi ya kukabiliana nalo kutoka ngazi ya Umoja wa Afrika (AU) na lisichukuliwe kuwa ni jambo linaloweza kutatuliwa na Serikali ya Tanzania peke yake. Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Julai 05, 2011) nyumbani kwake, Oysterbay, jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na Mjumbe Maalumu wa …

Rungwe hajakata tamaa ya urais

Imeandikwa na Magnus Mahenge; Tarehe: 27th June 2011               UKIZUNGUMZA na Hashim Rungwe (62),utabaini  wazi ni mtu aliyeshiba mang’amuzi, hekima busara. Rungwe amebobea kwenye siasa, biashara na uelewa wa mambo. Katika kinyang’anyiro cha 2010, alikuwa miongoni mwa wagombea urais saba waliotaka kuingia Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam. Rungwe alipeperusha bendera ya NCCR …