Mbunge Chadema aitaka Serikali kutaja mshahara kima cha chini

Na Mwandishi wa Thehabari Dodoma Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA, Rose Kamili MBUNGE wa Viti Maalumu CHADEMA, Rose Kamili ameitaka Serikali kueleza kinagaubaga kima cha chini cha mishahara kimepanda kwa kiasi gani na si kutoa maelezo ya jumla. Kamili alitoa hiyo Bungeni jana wakati akichangia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ya Makadirio …

Rais Kikwete kutembelea Saba Saba leo

Na Joachim Mushi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete leo anatarajia kutembelea Maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kwamujibu wa taarifa iliyopatikana jana kutoka Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TANTRADE), Rais Kikwete atakuwa ni miongoni mwa wageni mashuhuli ambao watatembelea maonesho hayo leo kushuhudia …

AND NOW IT IS MUAMMAR GHADDAFI’S TURN

By Khalid S Mtwangi Recent history is replete with forced regime changes that have been initiated, engineered and invariably the assault is led by one or other of the Western Powers. That is Europe headed by the mighty bully, the United States of America (USA). While all of Africa and a greater part of Asia were under colonial occupation by …

Serikali yamsafisha Chenge kashfa ya rada

Dodoma SERIKALI imemsafisha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Andrew Chenge kwa madai kuwa hahusi na kashfa ya Rada na kutaka mwenye ushahidi apeleke na serikali itaupokea na kumfikisha kwenye vyombo vya dola. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mathias Chikawe alimsafisha Chenge Bungeni jana wakati anahitimisha hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2011/2012 ya wizara …

Dk. Shein apokea ripoti ya kura za maoni na Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar

Pichani Dk. Shein akipokea ripoti hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Khatib Mwinchande. Picha kwa hisani ya Ikulu Zanzibar. Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametoa pongezi kwa juhudi kubwa zilizochukuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kuendesha uchaguzi mkuu uliopita pamoja na kura …

Shibuda kufukuzwa!

     Lissu asema wanajipanga uchaguzi mdogo *Aandikiwa barua akitakiwa atoe maelezo *Kamati Kuu Chadema kutoa msimamo Na Mwandishi Wetu, Dodoma HAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kipo tayari kuingia katika uchaguzi mdogo katika Jimbo la Maswa Magharibi iwapo Kamati Kuu itaamua kumvua uanachama Mbunge wa Jimbo hilo, John Shibuda (CHADEMA). Msimamo huo ulitolewa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi …