Ndani ya banda la Sasatel

Muonekano wa banda la Sasatel ndani ya viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Saba Saba. Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Sasatel akitoa huduma kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo kujua shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Sasatel katika viwanja vya Saba Saba jana Dar es Salaam. Mmoja wa wafanyakazi wa Sasatel Perry Mwankemwa akiendelea na kazi ndani …

FFU! Ngoma Africa Band kuvamia Internationals African Festival Tübingen, Germany

Mabakuli ya “Supu ya Mawe” uwanjani kila moja na lake! “FFU kwa hasira wamerusha song jipya “Supu ya Mawe” hewani” Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, kinatarajiwa kutumbuiza jukwaani tena katika onyesho kubwa la aina yake African Internationals Festival, mjini Tübingen, ujerumani siku ya Jumamosi 16.julai 2011. FFU hao wamziki pia wamepakua jikoni …

Banda la Mega Investment Arusha ndani ya viwanja vya Saba Saba

Banda la Mega Investment Arusha ndani ya viwanja vya Saba Saba Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Mega, Gladys Kombe (kulia) na Paskazia Manamba (kushoto) wakionesha tuzo iliyotolewa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kwa kampuni hiyo baada ya kufanya vizuri kwenye maonesho hayo. (Picha na Thehabari team ndani ya Saba Saba)

Saba Saba ndani ya banda la Hyundai

Hili ndiyo banda la kampuni ya Hyundai ndani ya viwanja vya Saba Saba katika maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam.

Wajumbe wa Bodi ya NSSF watembelea banda la NSSF

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa NSSF, Abubakari Rajab (wa tatu kushoto) pamoja na baadhi ya wajumbe wa bodi hiyo wakiangalia mfano wa daraja la Kigamboni linalotarajiwa kujengwa na shirika hilo (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau akitoa maelezo kwa wajumbe hao walipotembelea banda la NSSF kwenye maonesho 35 ya Biashara Kimataifa Saba Saba Dar es Salaam …

TWIGA STARS Vs ZIMBABWE KUPAMBANA KESHO

Harare, Tanzania ‘Twiga Stars’ inajitupa uwanjani kesho (Julai 7) kuwakabili wenyeji Zimbabwe ‘Mighty Warriors’ katika mechi ya pili ya nusu fainali ya michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika (COSAFA) itakayochezwa Uwanja wa Rufaro, jijini hapa. Mechi ya Twiga Stars itachezwa saa 9.15 kwa saa za hapa (saa 10.15 kwa saa za Tanzania), wakati nusu …