Picha mbalimbali ndani ya manesho ya Saba Saba

Wananchi wakiangalia mfano wa viungo mbalimbali vya mwili wa binadamu na kupewa maelezo ya namna vinavyofanya kazi mwilini, ndani ya banda la Moi kwenye maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa Umati wananchi waliotembelea maonesho ya Saba Saba ndani ya viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere wakiwa wamemzunguka Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete alipotembelea maonesho hayo Julai 6, 2011. Pichani kulia ni …

Kempinski Hotels ends management of luxury hotels in Tanzania

TANZANIA (eTN) – Tanzania tourism will enter yet another tough business test at the end of this month when Kempinski Hotels franchise ends its management of two luxury tourist facilities in the East African safari country. Kilimanjaro Hotel Kempinski in the central business district of Tanzania’s capital city of Dar es Salaam and Bilila Lodge Kempinski in Tanzania’s leading wildlife …

NGELEJA: AJIRA KUONGEZEKA LINDI NA MTWARA

WAZIRI wa Nishati na Madini, Bw. William Ngeleja amesema uwekezaji unaoendelea hivi sasa katika mikoa ya kusini ni kiashiria kizuri juu ya kukua kwa uchumi wa mikoa hiyo na hasa katika bandari ya Mtwara. Alikuwa akitoa ufafanuzi leo mchana (Alhamisi, Julai 07, 2011) kuhusu uamuzi wa kampuni ya Petrobas ya Brazili kuweka meli yake katika bandari ya Mtwara wakati ikifanya …

PINDA: SERIKALI HAITAINGIA GHARAMA WAKATI WA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali ya Tanzania haitaingia gharama zozote wakati meli ya Poisedon itakapokuwa inafanya uchunguzi wa mafuta na gesi katika pwani ya Tanzania. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Alhamisi, Julai 07, 2011) mara baada ya kutembelea eneo la viwanda vya kujenga meli (ship building area) ili kuona hatua mbalimbali za ujenzi wa meli na kuikagua meli ya …

Huduma katika banda la Zantel

Baadhi ya wateja wakihudumiwa ndani ya banda la kampuni ya Zantel, kujua huduma mbalimbali zinazoendeshwa na kampuni hiyo. Zantel inashiriki katika maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa jijini Dar es Salaam, Saba Saba (Picha na team ya Thehabari Saba Saba)