Yanga watafuata nyayo za Simba leo?

Dar es Salaam MABINGWA wa Soka Tanzania Bara, Yanga leo wanajitupa uwanjani kuvaana na St. Gearge katika mchezo wa hatua ya Nusu Fainali ya Michuano ya Kagame Cup mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mchezo huo unaotabiriwa kuwa mkali kutokana na kila timu kutaka kuingia hatua ya fainali ili iweze kuibuka bingwa na kunyakuwa kitita cha …

Rais Kikwete kujenga masoko mahususi ya bidhaa

Rais Jakaya Kikwete Na Joachim mushi SERIKALI imesema itahakikisha kabla ya kuondoka madarakani inajenga maeneo maalumu na masoko mahususi ya bidhaa mbalimbali ili kuwarahisishia wajasiria mali kupata soko la bidhaa hizo muda wote, tofauti na kutegemea maonesho ya Saba Saba pekee. Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akizungumza na wanahabari ndani ya Maonesho ya 35 ya Biashara …

Tigo wachangisha fedha kusaidia elimu kwa watoto

Jackson akionyesha peperushi kuonyesha Tigo Tuchange katika mkutano na waandishi wa habari Julai 6, 2011 jijini Dar es Salaam. Meneja Habari Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu nchini, Sylivia Lupembe Gumza akiwapongeza Tigo kwa huduma yao ya “Tigo Tuchange” ambayo ni kwa ajili ya kusaidia elimu kwa watoto Tanzasnia ambayo itafanyika 9 Julai 2011. Meneja Uhusiano wa Tigo Jackson …

Vurugu za wamachinga na polisi mjini Mwanza

Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU mjini Mwanza wakiwa kwenye harakati za kuwatuliza wamachinga katika mapambano na Polisi. gari hili liliteketezwa kwa moto na wamachinga waliokuwa na hasira katika mapambano na askari mkoani Mwanza.

PPAT yalaani vitendo vya kupigwa kwa wanahabari

TAMKO LA PPAT KULAANI KUSHAMBULIWA KWA MPIGAPICHA HERI SHABANI WA GAZETI LA MAJIRA NA MWANDISHI CHRISTOPHER LISA WA SANI Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania (PPAT) kinapenda kuungana na watanzania wote kulaani kitendo cha Kinyama alichofanyiwa Mpigapicha wa Gazeti la Majira na Mwandishi wa Sani, kwa kuvamiwa na wananchi, kupigwa na kuporwa mali zao wakati wakiwa kazini kuripoti tukio la …

Irente yaiomba Serikali kuchapisha vitabu kwa wenye uono afifu

JOACHIM MUSHI Lushoto SHULE ya msingi ya wanafunzi wasioona ya Irente mjini Lushoto imeitaka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuanza kuchapisha vitabu maalum kwa wanafunzi wenye uwezo mdogo wa kuona. Changamoto hiyo ilitolewa hivi karibuni na waalimu wa shule ya msingi ya wasioona ya Irente walipokuwa katika mahojiano maalumu na mwandishi wa habari hizi kuzungumzia matatizo kadhaa yanayowakabili …