Dk. Bilal azindua Kigoda cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kumbukumbu ya Kigoda cha Mwalimu Nyerere kinachohusika na masuala ya Mazingira na mabadiliko ya Tabianchi, kilichozinduliwa Julai 11, 2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutangazwa kwa Mwenyekiti wa kwanza wa Kigoda hicho, Prof. Pius Yanda. Picha na …

KUZALIWA SUDAN KUSINI: Ni furaha, kilio kwa Afrika?

  *Taifa moja lagawanyika katikati ya ndoto za Afrika Moja *Kuendekeza udini, ukabila vyachochea mgawanyiko wake *Kuwa mwanachama mpya Jumuiya ya Afrika Mashariki JUBA, Sudan Kusini MAELFU ya raia wa Sudan Kusini jana walitokwa na machozi waliposhuhudia kupandishwa kwa bendera ya taifa lao jipya katika sherehe za uhuru zilizofanyika katika Jiji la Juba, katika tukio ambalo wachunguzi wa mambo wanasema …

CHADEMA ‘wateka’ Bunge!

*Ni Tundu Lissu na John Mnyika *Wawapeleka puta mawaziri “Waondoa shilingi, CCM wawazidi ujanja Na Waandishi Wetu, Dodoma WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu wa Singida Mashariki na John Mnyika wa Ubungo, mwishoni mwa wiki ‘waliliteka’ Bunge wakati wa mjadala wa Hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Rais Mazingira na Muungano. Hotuba …

Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke ndani ya Sun Sirro

Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakicheza muziki ndani ya Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya usiku wa warembo uliondaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni hiyo ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Tanzania mwaka huu. (Picha kwa Hisani ya Full Shangwe Blog)

Mkurugenzi UNDP aanguka mkutanoni, afariki dunia

Na Mwandishi Wetu, Tanga MKUTANO wa Uhamsishaji uliofanyika siku moja tu kabla ya madhimisho ya kilele cha siku ya idadi ya watu duniani jana uliingia dosari baada ya Mwakilishi mkazi wa Shirika la Idadi ya watu na makazi duniani (UNFPA) Christopher Mwaijonga kuanguka na kufariki dunia. Mwaijonga alianguka wakati wa mapumziko ya chai ikiwa ni muda mfupi tu kabla ya …

Pres. Kikwete akutana na Otumfuo Osei Tutu

MFALME Otumfuo Osei Tutu wa Pili wa Ufalme wa Ashanti nchini amewashauri baadhi ya Waafrika kuacha kuitumia demokrasia vibaya kwa kutowaheshimu viongozi wa nchi na Serikali za Bara hilo ambao amesema kuwa anaamini fika kuwa wamedhamiria kuimarisha demokrasia katika Bara hilo. Mfalme huyo pia amewaambia Waafrika kuwa hali ya baadaye ya Bara la Afrika ni nzuri lakini mafanikio yote ya …