Madiwani Chato wagomea kikao wagawanyika

Jengo la Halmashauri ya Chato Chato SAKATA la madiwani katika Halmashauri ya wilaya ya Chato mkoani Kagera la kugoma kuingia kwenye kikao cha Baraza limeingia sura mpya baada ya baadhi yao kujitenga na kuunda Baraza jipya la muda pamoja na kumchagua Mwenyekiti wa Halmashauri. Katika kikao kilichofanyika juzi mjini Chato madiwani hao 14 kutoka chama cha mapinduzi CCM kwa kushirikiana …

Wafanyabiashara TRC wagoma kulipa ushuru

Mwandishi Wetu, Mpanda WAFANYABIASHARA wanaosafirisha mpunga na mahindi kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC), kituo cha Mpanda wamegoma kulipa ushuru kwa Halmashauri ya Mji huo kwani wamekuwa wakitozwa mara mbili. Akizungumza kuwawakilisha wenzake mjini hapa jana, Mussa Amijee mkazi wa Mkoa wa Tabora alisemawamekuwa wakinunua mazao yao maeneo anuai ya wilaya hiyo na Mkoa wa Rukwa na kutozwa ushuru na …

Zanzibar yataka itifaki ya utawala bora EAC

Dk. Ali Mohamed Shein Na Mwandishi wa EANA RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza umuhimu kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuzingatia utawala bora, kwani ni nguzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Dk. Shein alisema hayo jana alipokuwa akifungua mkutano wa mawaziri wanaoshughulikia mambo ya nje, utawala bora na katiba mjini Zanzibar, …

MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME 2011

Michuano ya kuwania Kombe la Kagame iliyofanyika nchini kuanzia Juni 25 hadi Julai 10 mwaka huu imekwenda vizuri huku timu za Tanzania, Yanga na Simba zikifanya vizuri kwa kufika hatua ya fainali. TFF tunazipongeza timu hizo kwa uwakilishi mzuri ziliotupa, hasa Yanga kwa kuibuka mabingwa. Shukrani za pekee tunatoa kwa mashabiki waliojitokeza kushuhudia mechi za michuano hiyo zilizofanyika katika Uwanja …

Bunge laipongeza Yanga kutwaa ubingwa wa Kagame

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipongeza timu ya soka ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame kwa kuwatandika watani zao timu ya soka ya Simba pia ya Dar es Salaam kwa gori 1-0. Pongezi hizo zimetolewa bungeni jana na Spika wa Bunge, Anne Makinda muda mfupi baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na …

‘FFU’ ndani ya Internationals African Festival Germany

Bandi ya ‘FFU’ ikiwa jukwaani ikitumbwiza *Jumamosi ya 16.07.2011 inakaribia *Mabakuli ya “Supu ya Mawe” uwanjani kila moja na lake! Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani Ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU,kinatarajiwa kutumbuiza jukwaani tena katika onesho kubwa la aina yake African Internationals Festival, mjini Tübingen, ujerumani siku ya Jumamosi 16.Julai 2011. FFU hao wa muziki pia wamepakua kutoka …