Somalia nchi hatari duniani!

UMOJA wa Mataifa umesema Somalia ni eneo lenye janga kubwa kabisa la kibinaadamu hivi sasa duniani, huku vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano vikiongezeka kwa sababu ya utapiamlo na ukosefu wa usalama. Wakimbizi wa Kisomali wanaokimbia ukame na njaa kwao na kutafuta hifadhi nchini Kenya, wanatajwa kuwa ndio watu mafukara wa mwisho na watu walio kwenye hatari kubwa …

Socks zinazonuka zinajaribiwa kama namna mojawapo ya kuzuia Maleria

(Smelly socks tested in Tanzania as way to prevent malaria) In global public health, disease-fighting tools that are cheap, available and sustainable are the Holy Grail. It might be hard to top the one being tested in Tanzania as a way to prevent malaria: smelly socks. Experiments in three villages where people get about 350 bites a year from malaria-infected …

Kafulila ‘achafua’ hewa bungeni

Bungeni Dodoma. *Sitta awabeza wapinzani, awaita wanafiki Dodoma HALI ya hewa bungeni imechafuka baada ya ukumbi kugeuka sehemu ya zogo, ambapo wabunge wametoleana lugha za kubezana na kuzomeana kama watoto. Hatua hiyo imeibuka Bungeni jana baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR- Mageuzi), kunukuu kauli aliyoiita ya Mwalimu Julius Nyerere kuwa ‘Serikali legelege’ haiwezi kukusanya kodi. Kafulila alitoa …

Airtel yazidi mawasiliano vijijini, yaingia Ruvuma

Nembo ya kampuni ya Airtel. *Yazindua mnara wa mawasiliano maeneo ya Mganizi KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania inayoongoza kwa mtandao mpana wa mawasiliano, leo imetimiza ahadi yake ya kuleta mawasiliano nafuu na yenye kuwafikia watanzania wengi zaidi kwa kuzindua huduma ya mawasiliano katika Mkoa wa Ruvuma Akitoa maoni yake juu ya huduma ya mawasiliano, Mkurungezi wa mauzo …

Vodafone watembelea wodi ya Fistula CCBRT

 1) Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Bw. Erwin Telemans akifafanua jambo kwa mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa huduma kwa jamii wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodafone ya nchini Uingereza Elizabeth Filkin wakati wakielekea kweye wodi ya wagonjwa wa Fistula inayofadhiliwa na Kampuni y a simu za mkononi ya Vodacom Tanzania. 2) Muuguzi wa …

Kili yaandaa tamasha la Jivunie uTanzania

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Bw. George Kavishe. Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager imeandaa tamasha linalojulikana kama Kilimanjaro Premium Lager Fun Festival. Taarifa iliyotolewa jana Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Bw. George Kavishe ilisema huu ni uzinduzi wa Kampeni …