Mkutano wa wahariri Arusha waanza

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda aliyesimama akizungumza katika mkutano wa wahariri mjini Arusha jana. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini, Absalom Kibanda, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Breweriers (SBL), Jaji Marck Bomani, na wa kwanza kulia ni Katibu wa Jukwaa hilo ambaye pia ni mmoja wa …

Jaji Bomani afungua mkutano wa Wahariri Arusha, awataka kulinda maadili ya taaluma

Na Mwandishi Wetu, Arusha. MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Breweriers (SBL), Jaji Marck Bomani, amewataka wahariri wa habari nchini kutokubali kufanya kazi yao kwa shinikizo la watu na kutelekeza maadili ya taaluma hiyo. Amesema vyombo vya habari ni muhimu kutokana na kazi yao kubwa kwa jamii hivyo ni vema vikafanya kazi kwa kufuata maadili ili visije …

Safari ya mkutano wa wahariri na matukio katika picha

Safari ilianzia hapa (Dar es Salaam) kwa kutumia mabasi ya kisasa ya Kampuni ya Metro kuendelea mkoani Arusha. “Haina majotrooooooooooo” ni burudani kwenda mbele. Baadhi ya wahariri na wanamsafara mzima wakipata picha za kumbukumbu kabla ya kuivuka ardhi ya Jiji la Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wakijuliana hali huku safari ikiendelea. Haikuwa ajabu mtu kuhama kutoka sehemu moja kwenda …

Dr Slaa fails to prove

By Harrieth Mandari All indicators show Dr Slaa has backed down on his false allegations on Andrew Chenge by failing to deliver relevant documents that prove beyond reasonable doubt his allegations. The Director of Public Prosecution (DPP), Eleiezer Feleshi has said currently there is no exhibit delivered at his office by anybody concerning the issue of BAE scam despite vocal …

Mshindi Redds Miss Temeke kunyakua mil 2

Baadhi ya vimwana wanaoshiriki Redds Miss Temeke wakifanya mazoezi kujiandaa na mpambano huo. KAMBUNI ya BMP waandaaji wa shindano la Redds Miss Temeke jana ilitangaza zawadi kwa mshindi wa taji hilo mwaka huu pamoja na zawadi za washindi wengine. Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Benny Kisaka amesema mshidi wa mwaka huu atajinyakulia sh. milioni mbili, wapili milioni 1.5 “Zawadi pia imeongezwa …