Wafanyakazi SBL wawagagadua wahariri 1-0

Mgeni rasmi wa mchezo huo, Joseph Kulangwa ambaye pia ni Mhariri Mkuu wa Habari Leo (kulia) akisalimiana na mmoja wa wachezaji wa timu ya Serengeti Breweries, Teddy Mapunda kabla ya kuanza kwa pambano hilo, lililofanyika CCP Moshi. Kilimanjaro, WAFANYAKAZI wa Serengeti Breweries Ltd (SBL) mjini Moshi jana walikata ngebe za timu ya Jukwaa la Wahariri nchini baada ya kuwagagadua bao …

Wahariri watembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti Moshi

Wahariri wa habari nchini Tanzania kutoka vyombo mbalimbali wakitembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Ltd) kilichopo mjini Moshi jana baada ya kumaliza mkutano wao mkuu uliofanyika mkoani Arusha. Anayewaongoza ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda. Sehemu ya mtambo wa Bia ya Serengeti ukiendelea na kazi kiwandani hapo.

Mbunge wa CHADEMA amlipua Sitta

Na Debora Sanja, Dodoma SPIKA wa Bunge mstaafu, Samuel Sita, amelipuliwa bungeni baada ya Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, kuhoji uhalali wake wa kuishi katika nyumba ya Spika wa Bunge wakati yeye si Spika. Msigwa alimlipua Sitta bungeni jana, wakati akiuliza swali katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Alisema wakati Sitta akiwa Spika, alipangishiwa …

Lowassa: Nasikitika Rostam kujiuzulu

• Aliumia zaidi wananchi walipolia • Asema muda ukifika atasema cha kufanya • Chadema watamba kushinda Igunga Na Maregesi Paul, Dodoma Babu sikutarajia kama hali hiyo ingelitokea,” alisema Lowassa. Alipotakiwa kusema yeye atajiuzulu lini kwa kuwa naye ni miongoni mwa wana CCM ambao wamekuwa wakilalamikiwa, alisema kwa kifupi kwamba muda ukifika nitasema. Wakati huo huo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo …

Kilango achachamaa bungeni, amshushua Ngeleja

*Asema hataki chai, anataka umeme Dodoma ILE siku iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wabunge imewadia ambapo mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango (CCM), amekuwa wa kwanza, kumtupia makombora Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja mara baada ya waziri huyo kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2011/2012 ya wizara yake. Kilango akitoa mchango wake amegoma kuunga …

Makamba na Shekifu, uso kwa uso Bungeni!

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu  ya Bunge ya  Nishati na Madini, Januari  Makamba akizungumza jambo na kusalimiana na Mbunge wa Jimbo la Lushoto Henry Shekifu  mara baada ya kuwasilisha taarifa ya  kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2010/2011 pamoja na makadirio ya  mapato na matumizi  ya wizara hiyo kwa mwaka 2011/2012. PICHA NA MAGRETH …