Yaliyojiri katika mechi kati ya Bunge na PSPF huko Dodoma!

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) wakipata maelekezo ya mwisho kutoka kwa kocha wao katika mazoezi yaliofanyika jumamosi asubuhi katika kiwanja cha Jamhuri Mjini Dodoma kabla ya mpambano wao na Timu ya Bunge. Kocha akiendelea kutoa dozi Wachezaji wakiendelea kumsikiliza kocha wao kwa umakini mkubwa.       Picha kwa …

Kocha mkuu Simba kutua Dar

KOCHA mkuu wa timu ya soka ya Simba, Mganda Mosses Bassena atarajiwa kuingia nchini kukinoa kikosi kwa ajili ya Simba Day na mchezo wa ngao ya hisani dhidi ya wahasimu wao Yanga Agosti13. Bassena alikuwa nchini kwao Uganda kwa ajili ya mapunziko mafupi baada ya kumalizika kwa mashindano ya Kombe la Kagame yaliomalizika hivi karibuni na Simba kukubali kichapo cha …

Airtel Rising Star kuanza leo

MASHINDANO ya vijana chini ya miaka 17 yaliyopewa jina la ‘Airtel Rising Star’ yataaza kutimua vumbi leo, ambapo Mkoa wa Dar es Salaam utatumika kupitia viwanja vyake vya Airwing, Makongo na Twalipo. Akizungumza Dar es Salaam jana, Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu za Mikononi ya Airtel, Jackson Mbando alisema kuwa kampuni yao kwa kushirikiana na timu ya Manchester, wameamua …

Simba yaifuata Yanga Taifa

Uwanja wa Taifa unavyoonekana kwa nje. KLABU ya Simba imefuata nyayo za watani wao wa jadi Yanga, baada ya kuamua kuomba Uwanja wa Taifa kama uwanja wao wa nyumbani katika mashindano ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba imesema ina matarajio makubwa ya kutumia Uwanja wa Taifa kwa kuwa imeshapeleka maombi yao kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Akizungumza …

Ngeleja, Katibu wake ‘matatani’, wabunge wagomea bajeti yake

Waziri Ngeleja akizungumza bungeni. Dodoma, IDADI kubwa ya wabunge wakiwemo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameikataa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, na Serikali kuomba ikajipange upya kabla ya kuiwasilisha tena bajeti hiyo bungeni. Mbali na Waziri Mkuu Pinda kuiondoa bajeti hiyo jana bungeni Dodoma, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, David …

Matapeli yaingilia mawasiliano ya ‘wahariri’ Tanzania

Nevilli Meena (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalon Kibanda. Na Mwandishi Wetu WATU wasiojulikana wameingilia mawasiliano ya mtandao ya Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na kuanza kuutumia kwa masuala hayo ikiwa ni pamoja na kufanya vitendo vya kitapeli kwa kutumia mawasiliano (e-mail). Matapeli hao wa mtandao walifanikiwa kuingia katika mawasiliano hayo ya siri …