Mkurugenzi Taasisi ya Doris Mollel Azinduwa Duka la Kadi

          Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel, Bi. Doris Mollel amezinduwa tawi jipya la duka la kadi la Kampuni ya ‘R’ Plus Events Cards’ Mwenge, Sokoni Jijini Dar es Salaam huku akiwataka wajasiliamali wadogo na wakubwa wauzaji wa bidhaa hizo kujitokeza kuchangamkia fursa hiyo ili wajipatie kipato. Bi. Mollel ametoa kauli hiyo …

MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, WCF WAVUTA WENGI SABASABA 2017

  Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCD), Dkt. Abdulsalaam Omar, akimfafanulia mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko huo lililoko kwenye hema kubwa la Jakaya Kikwete, kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam 2017, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kuhusu hatua ambazo mfanyakazi anapaswa kuchukua baada …

MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUTUMIA HUDUMA ZA HOTELI MTANDAONI

  KUNA faida nyingi za kutumia mitandao inayotoa huduma za hoteli badala ya kuwasiliana nao au kutembelea tovuti zao moja kwa moja. Kwani unaweza kuperuzi aina tofauti za hoteli, kujua huduma walizonazo pamoja na bei kabla ya kufanya maamuzi ni hoteli gani umependezewa nayo. Mbali na kuwepo kwa manufaa mengi kwa mteja pindi anafanya huduma za hoteli mtandaoni changamoto kubwa hujitokeza …