Dk. Mengi Ataka Wasambazaji Kushawishi Uwekezaji

  MAKAMPUNI ya Tanzania ya uwakala wa usambazaji wa bidhaa za kutoka nje ya nchi, wameshauriwa kuyashawishi makampuni ya nje kujenga viwanda vya kuzalisha bidhaa hapa hapa nchini. Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania – TPSF Dr Reginald Mengi ametoa ushauri huo jijini Dar es salaam wakati akitembelea mabanda ya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, na kusisitiza kuwa kwa kufanya hivyo …

Masikini Mdee, Polisi Waagizwa Kumkamata Saa 48

  MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Ally Hapi amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania, kumtia ndani Mbunge wa Kawe, Bi. Halima Mdee kwa kile alichodai katoa kauli ya kumtusi, dhihaka na uchochezi kwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli katika kauli yake aliyoitoa kwa waandishi wa habari. DC Hapi alisema kauli za mbunge huyo aziwezi kuvumiliwa hivyo …

Hatimaye Bunge Lazibadili Sheria za Madini Tanzania

  BUNGE la Tanzania hatimaye limepitisha sheria mpya mbili na muhimu za uchimbani madini ambapo kwa pamoja zina lengo la kufanya mapinduzi makubwa katika sekta ya madini. Sheria hizo mbili zinafuatia mzozo wa miezi miwili kati ya serikali na Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingeraza ya Acacia, kufuatia madai kwuwa kampuni hiyo imekuwa ikikosa kulipa kodi. Kupitia sheria hizo sasa …

Korea Kaskazini Yarusha Kombora Bahari ya Japan

KOREA Kaskazini imerusha kombora jingine la masafa marefu kutoka Jimbo la Magharibi hii ni kutokana na mamlaka ya Japan na Korea Kusini. Kombora hilo lilirushwa kutoka Bangyon Kaskazini mwa mkoa wa Pyongan kulingana na chombo cha habari cha Yonhap kikitaja duru za jeshi la Korea kusini. Tokyo imesema kuwa kombora hilo huenda lilianguka katika eneo la kiuchumi la bahari ya …