Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jumia Travel Tanzania, Fatema Dharsee, akizungumza katika hafla fupi ya uwasilishwaji wa Ripoti ya Utalii Tanzania kwa mwaka 2017 kutoka katika kampuni hiyo inayojishughulisha na huduma za hoteli na usafiri mtandaoni tukio lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip katikati ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi. Ofisa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho …
Rais Magufuli Amuhalalisha Kindamba Utendaji Mkuu TTCL
HATIMAYE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amemteua rasmi, Bw. Waziri Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Kabla ya uteuzi huo Kindamba alikuwa akikaimu nafasi hiyo, tangu alipoondolewa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu Dk. Kamugisha Kazaura aliteuliwa Februari 2013 na Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL kushika nafasi hiyo baada ya …
Naibu Katibu Mkuu CCM, Mpogolo aipongeza NMB kuanzisha Fanikiwa Account
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo ameipongeza Benki ya NMB kwa kuanzisha akaunti ya Fanikiwa kwani ina lengo la kuwagusa watu wa kipato cha chini ambao ndiyo sehemu kubwa ya wananchi wa Tanzania. Mpogolo ameyasema hayo baada ya kutembelea banda la benki ya NMB kwenye maonesho ya Saba Saba ambapo alipata fursa ya kupata elimu kuhusu …
Mbunge Halima Mdee Mikononi mwa Polisi Dar…!
HATIMAYE Jeshi la Polisi Dar es Salaam limemkamata Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ikiwa ni kuitikia amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Alli Hapi. Taarifa zinasema mbunge huyo, alikamatwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Makongo Juu na anashikiliwa na Kituoni cha Polisi Oysterbay. Kiongozi wa CHADEMA (Katibu) wa Dar es Salaam, Henry Kilewo ametoa taarifa za …
Waziri Mwijage, Kaimu Jaji Mkuu, Watembelea Banda la WCF Sabasaba
Mhe. Waziri Mwijage, (kulia), akiagana na Bw. Sebera baada ya kutembeela banda hilo na kuelimishwa kuhsuu majukumu ya Mfuko. Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe.Profesa Ibrahim Hamisi Juma, (kushoto), akikaribishwa na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Sebera Fulgence, alipotembela banda hilo kwenye hema la Jakaya Kikwete viwanja vya Mwalimu Nyerere maarufu kama …