BENKI ya NMB imewashauri wazazi na walezi kuwafungulia watoto wao akaunti mbili mpya ambazo zimeanzishwa na benki hiyo ya Mtoto Akaunti na Chipukizi Akaunti kwa ajili ya kutumia kuwawekea fedha watoto wao. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Elimu ya Fedha wa benki ya NMB, Ryoba Mkono baada ya kutoa elimu ya fedha kwa wazazi na watoto kwenye maonesho ya 41 …
BALOZI DK CHANA NA MWENYEKITI BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF SABASABA
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisalimiana na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya LAPF Prof. Faustine Bee (katikati aliyeshika tuzo ya ushindi wa Lapf) akiwa katika picha …
Ugonjwa wa Kisonono Sasa ‘Wagoma’ Kutibika…!
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mataifa 77 tofauti Duniani, WHO imebaini kuwa maambukizi wa ugonjwa huo nchini Japan, Ufaransa na Uhispania, hayatibiki kabisa. Lakini hata hivyo, shirika hilo linasema wengi wanaoambukizwa ugonjwa huo wako …
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Atembelea Maonesho ya Biashara Sabasaba…!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye banda la bidhaa zitokanazo na maziwa la Kampuni ya ASAS, viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara (Sabasaba), Kilwa Road jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. …
WATANZANIA WASHINGTON, WAIRUDISHA LABOR DAY WEEKEND KWA KISHINDO
KAMA ILIVYOKUWA DESTURI YA WATANZANIA WAISHIO MAREKANI HAPO MIAKA YA NYUMA KUKUTANA WAKATI WA “LABOR DAY WEEKEND” NDANI YA WASHINGTON DC,SASA KUANZIA MWAKA HUU WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DMV WAMEAMUA KUIRUDISHA DESTURI HIYO KWA KUANDAA REUNION KABAMBE KWA STYLE YA KIPEKEE,IKIJUMUISHA MICHEZO YA WATOTO,WATU WAZIMA,CHAKULA,PAMOJA NA VIBURUDISHO KUTOKA KWA WASANII MBALIMBALI KUTOKA TANZANIA NA MAREKANI,HABARI KAMILI NA MPANGO MZIMA KUFUATA ILA …
MKURUGENZI MKUU LAPF ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Mkurugenzi Mkuu …