Hizi Hapa Sababu za William Ngeleja Kutema Fedha za Escrow

MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja leo katangaza kurejesha Serikalini Fedha za Escrow alizokuwa kapewa na Ndugu James Rugemalira, mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd. Ngeleja aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini aligawiwa kiasi cha fedha shilingi milioni 40.4 za kitanzania kutoka kwa mfanyabiashara huyo ambaye kwa sasa anatuhuma kwenye kashfa ya akaunti ya ESCROW. Soma sababu …

Katibu Mkuu Kiongozi, Kijazi Aongoza Mazishi ya Hassan Rashid Shebuge

  KATIBU Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Jumamosi Julai 6, 2017 ameongoza waombolezaji wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki, majirani na wafanyakazi wenzie katika mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge aliyefariki dunia siku ya Alhamisi, Julai 6, 2017 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kupatwa na shinikizo la damu. Marehemu Shebuge, …

WATANZANIA WANAOTUMIA SIMU HUDUMA ZA MITANDAONI WAONGEZEKA

Na Jumia Travel Tanzania   RIPOTI ya Utalii ya mwaka 2017 iliyozinduliwa na Jumia Travel nchini Tanzania imebainisha kuwa idadi ya watanzania wanaotumia simu katika kufanya huduma za hoteli kwa njia ya mtandao imeongezeka na kufikia takribani asilimia 60. Ripoti hiyo iliyozinduliwa mwishoni mwa wiki iliyopita imebainisha kuwa mpaka kufikia mwaka 2016 watumiaji wa intaneti walikuwa ni zaidi ya milioni 19 …

Halotel yazindua vifurushi vipya vya shilingi 100

      KAMPUNI ya simu za mkononi ya Halotel imezindua rasmi huduma mpya yenye gharama nafuu zaidi itakayowawezesha wateja wa mtandao huo kuwasiliana kwa kujiunga na vifurushi kwa kuanzia Shilingi 100, itakayowawezesha kupata dakika za kuongea usiku mzzima bure pamoja na kupata SMS na vifurushi vya intaneti vilivyopewa jina la CHIPSI BANDO. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo …

Rais mstaafu Kikwete azindua Tamasha la ZIFF 2017 Zanzibar, Atunukiwa tuzo

  RAIS Mstaafu wa awamu ya nne katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Jumamosi usiku wa Julai 8,2017, amezindua rasmi tamasha la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF), tukio lililofanyika Ngome Kongwe, Mjini Unguja-Zanzibar. Katika tukio hilo, Dkt. Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo la 20, tokea kuanzishwa kwake miaka …

SIKU YA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA KITAIFA DODOMA

  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambae pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama Taifa (Mwenye T-Shirt ya Blue) akiwa ameambatana na Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani nchini DCP Mohammed Mpinga ambae pia ni katibu wa Kamati ya usalama barabarani na Mlezi wa RSA Tanzania wakiwa wanaingia uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma baada ya kupokea maandamano ya …