Taasisi ya MO Dewji yatunukiwa tuzo ya ubora ya Superbrand

Taasisi ya MO Dewji inayojuhusisha na kusaidia jamii katika elimu, afya na maendeleo ya jamii imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora inayofahamika kama SuperBrand. Taasisi hiyo inayomilikiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mohammed Entreprises Tanzania Limited, Mohammed Dewji imetunukiwa tuzo hiyo kutokana na juhudi zake za kusaidia jamii kupitia miradi mbalimbali ambayo inaifanya. Akizungumza baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo, …

WAVAMIZI WA RELI WAPEWA MIEZI SITA

    NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngoyani ametoa Miezi sita kwa wakazi wa Mpanda Mkoani Katavi kuondoka katika maeneo ya hifadhi za Reli ili kupisha maboresho yanayoendelea kufanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRL) kwenye miundombinu yake. Ametoa agizo hilo wakati akiongea na wafanyakazi wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo Mkoani Mpanda na kusema …

Benki ya NMB Yafanikisha Tamasha la ‘Mtoto Day Out’

BANKI ya NMB imefanikisha kufanyika kwa Tamasha maalum la watoto ‘Mtoto Day Out’ kwa kuwa mdhamini mkuu wa Tamasha hilo. Tamasha hilo ambalo limekutanisha watoto wa maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na kufurahi pia wamepata elimu kuhusu umuhimu wa kutunza fedha. Akizungumza na MO Blog kuhusu tamasha hilo, Mratibu wa Elimu ya Fedha wa benki ya …

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JUNI,2017 WAPUNGUA

.  Mkutano na wanahabari ukiendelea. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.   Na Dotto Mwaibale   MFUMUKO wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni  umepungua hadi kufikia asilimia 5.4 ikilinganishwa na asilimia 6.1 ilivyokuwa mwezi Mei 2017.   Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Sensa na wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana kuhusu mfumuko huo wa bei. …

Serikali Kuimarisha Uwanja wa Ndege wa Mpanda

    SERIKALI imemuagiza Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda kuwasiliana na Kampuni ya Uendelezaji Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) ili kupata gari la Zimamoto ili ndege za Shirika la ndege Tanzania (ATCL) ziweze kuanzisha safari zake katika Mkoa wa Katavi. Akizungumza mara baada ya kukagua uwanja huo Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani …