MGOMBEA Urais katika Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Fredrick Mwakalebela ametaja mambo kumi atakayo fanya katika kuinua mpira hapa nchini kama atapata ridhaa ya kuwa Rais wa TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati uzinduzi wa kampeni yake Mwakalebela amesema kuwa kwa kuanza ataanza na Utawala bora kwa Kuweka misingi ya wazi katika mapato na matumizi ya TFF, …
KILOLO YASHIKA NAFASI YA TATU MAONYESHO YA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI
Mgeni rasmi katika kilele cha Maonyesho haya alikuwa waziri wa ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za Mitaa MHE. George B. Simbachawene akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah tuzo ya mshindi wa tatu sambamba na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilolo Aloyce Kwezi. Na Fredy Mgunda, Mbeya HALMASHAURI ya wilaya ya Kilolo mkoani iringa …
Odinga Ayapinga Matokeo ya Urais Yanayoendelea Kutangazwa Kenya
MGOMBEA urais wa muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) Raila Odinga amepinga matokeo ambayo yanaendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi nchini humo, IEBC. Raila Odinga ametoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo akizungumza na wanahabari. Bw Odinga amesema tume hiyo imekuwa ikitangaza matokeo kwenye tovuti yake bila kufuata utaratibu unaofaa. Aliongeza kuwa kabla ya matokeo yoyote …
MALIPO YA KODI YA ARDHI NA TOZO SASA KULIPWA KIELEKTRONIKI
Na ELIAFILE SOLLA WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza rasmi kutumia mfumo wa kielektroniki wa Government electronic Payment Gateway (GePG) katika makusanyo ya kodi ya pango la ardhi pamoja na tozo nyingine zinazotokana na sekta ya ardhi nchini. Mfumo huu utamrahisishia mwananchi kulipa kodi ya pango la ardhi popote alipo, ikiwa ni pamoja na kulipia …
Mashabiki wa Simba Waadhimisha Simba Day Uwanja wa Taifa
Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam. Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina utaratibu wake wa kuenzi vitu vyake vya klabu kwa kuanzisha siku maalumu ambayo wanasimba wote hukusanyika pamoja kujadiliana mambo mbalimbali. Agosti 8 ya kila mwaka huwa ndiyo siku hiyo …
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA COSTECH MAONYESHO YA NANENANE LINDI
Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Hussein Mansour (kushoto), akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, alipotembelea banda la COSTECH. Mtafiti kutoka COSTECH, Bestina Daniel, akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la COSTECH katika maonyesho hayo. Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Mikocheni (MARI), Christina Kidulile, akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la COSTECH jinsi ya …