HATIMAYE DARAJA LA MTO KALAMBO LAKAMILIKA

    SERIKALI kupitia Wakala wa barabara nchini TANROADS Mkoa wa Rukwa imekamilisha ahadi yake kwa wananchi ya kuwapunguzia changamoto ya usafirishaji wa abiria na mzigo kwa kukamilisha ujenzi wa Daraja la Mto Kalambo pamoja na barabara ya Sumbawanga Matai hadi Kasanga port (112km) ambapo Kilomita 71.4 zimeshawekwa lami. Akizungumza mara baada ya kukagua daraja na barabara hiyo Waziri wa …

RC Makonda Agoma Kuona Mwili wa Seth Katende…!

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amevuta hisia za waombolezaji katika tukio la kuuaga mwili wa mtangazaji wa EFM Radio ya jijini Dar es Salaam, Seth Katende pale aligoma kuangalia mwili wa marehemu kutokana na machungu aliyonayo kwa msiba huo. Mkuu wa mkoa alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kutoa salamu za rambirambi katika msiba huo. Makonda …

NMB yadhamini mashindano ya Golf Gymkhana Dar

  BENKI ya NMB imedhamini mashindano ya mchezo wa Golf yaliyoandaliwa na Club ya Gymkhana ya jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 100 tangu kuanzishwa kwa club hiyo. Michuano hiyo mikali na ya kipekee iliyopambanisha wachezaji wa mchezo wa golf kutoka club mbalimbali ilifanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam na washindi mbalimbali wa …

Washauriwa kuunga mkono mapambano ya Rushwa

    Na Sixmund Begashe wa Makumbusho ya Taifa WATANZANIA wameshauriwa kuunga mkono jitihada mbali mbali zinazofanywa na Serikali, Mashirika ya Umma na Wadau mbali mbali katika mapambano dhidi ya rushwa ili kutokomeza kabisa tatizo hili hapa nchini. Hayo yamesema na Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam Bwana ACHILES BUFURE kwenye usahili uliofanywa na Makumbusho hiyo …

Waziri wa Ujenzi, Prof. Mbarawa ‘avamia’ mradi wa barabara za juu Tazara Dar

    WAZIRI wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa leo amevamia mradi wa ujenzi wa barabara za juu unaoendelea eneo la Tazara jijini Dar es Salaam na kuridhishwa na kasi ya ujenzi inayoendelea chini ya Kampuni ya Sumitomo Mitsui Construction Co. Ltd ya nchini Japan. Akizungumza katika ziara hiyo alisema lengo ni kuangalia maendeleo ya ujenzi …