Walimu waombwa kuisaidia NMB kutoa elimu kibenki

            WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewashauri walimu kuisaidia Benki ya NMB kutoa elimu ya masuala ya kibenki na hasa umuhimu wa kujiwekea akiba kwa jamii wakiwemo watoto ili iweze kuwasaidia hapo baadaye. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Eleuther Mwageni …

Viongozi wa Dini Watakiwa Kutumia Taaluma zao Kumsaidia Rais Magufuli

  Mchungaji Dk. William Kopwe wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania  (KKKT) Dodoma, akifundisha katika kongamano hilo.    Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya maombi hayo, Askofu Mkuu wa Naoith Pentekoste Church, Dk. David Mwasota akizungumza katika kongamano hilo.  Mchungaji Timoth Joseph kutoka Nigeria alifundisha somo la watu kuwa waaminifu katika kila jambo.  Mafundisho yakiendelea.    Usikivu katika kongamano …

‘Castle Lite Unlocks’ Yahimiza Washiriki Kujitokeza Tamasha la Muziki

Mratibu wa Malipo wa kwa Tigo Pesa, Newton David (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.   Ofisa Masoko kutoka Kampuni ya CFAO Motors Ltd, Angelina Ndege akizungumza katika mkutano huo kuhusu kudhamini tamasha hilo. Meza kuu. Mkutano na wanahabari ukiendelea. Wasanii wa hapa nchini watakaotoa burudani katika tamasha hilo. Kutoka kulia ni Vanessa Mdee, Nareel Mkono na Aika Marreale.   Na …

Mkutano wa Shukrani na Kuombea Tanzania Kitaifa Kufanyika Jumamosi

    Na Dotto Mwaibale   MRATIBU wa mkutano wa kitaifa wa kuombea nchi na Rais Dk.John Magufuli, ambaye ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Abudant Blessing Center (ABC), Askofu Flaston Ndabila amesema viongozi wa Serikali, kidini na wananchi watakutana kesho kutwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam katika maombi maalum ya shukrani ya kuiombea nchi pamoja na Rais Dk. John …

Makamu wa Rais, Samia Amrithi Mama Salma Kikwete TGGA

  Aliyekuwa Mlezi wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Mama Salma Kikwete (kushoto) akimkabidhi  Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan bendera ikiwa ni ishara ya kumpatia ulezi wa chama hicho katika hafla iliyofanyika, kwenye viwanja vya Jumba la Makumbusho Dar es Salaam leo .  Samia Suluhu Hasan akimkabidhi Mlezi mstaafu wa TGGA zawadi ya saa aliyopewa zawadi na uongozi …

Wakandarasi Tanzania Kuchochea Mpango wa Tanzania ya Viwanda

KAMPUNI ya Mantrac Tanzania imezindua mpango maalum wa kukodisha na kumiliki mitambo kwa kulipa kidogo kidogo ili kuwarahisishia wateja mzigo wa kulipa fedha kununua mtambo kwa mara moja. Hii inamaanisha kuwa wafanyabiashara na wakandarasi wataweza kukodisha mitambo kutoka katika kampuni ya Mantrac Tanzania kwa bei nafuu na kuanzia miezi sita na kuendelea anakuwa mmiliki kamili wa mtambo huo.Hayo yamesemwa na mkuu wa …