NMB Yaeleza Umuhimu wa Huduma za ‘Trade Finance’ kwa Wanahabari

    BENKI ya NMB imesisitiza kuwa huduma ya ‘Trade Fainance’ inayotolewa na benki hiyo inatarajiwa kuchochea ukuaji wa biashara ndani na nje ya nchi kwa Wafanyabiashara. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kwenye semina, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bi. Ineke Bussemaker alisema huduma hiyo imewalenga wateja muhimu katika makundi yote ya wafanyabiashara wa kati …

ESRF YAANDAA MJADALA WA BIASHARA NA UWEKAZAJI KATI YA TANZANIA NA CHINA

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Mpango ametaka kuwapo na uratibu wenye maslahi mapana katika biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China. Alisema hayo wakati akifungua mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China. Alisema mahusiano yaliyopo kati ya Tanzania na China ambayo ni ya kihistoria yasitumike vibaya …

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU AZINDUWA TTCL PESA

        MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, amezinduwa rasmi huduma za kifedha ya kampuni ya Simu Tanzania ya ‘TTCL PESA’ inayomuwezesha wateja kupata huduma mbalimbali kama kutuma Fedha, Kulipia Ankara za huduma kama vile Maji, Umeme (LUKU), Ving’amuzi na Kununua vifurushi vya TTCL huku huduma nyingine zikiendelea kuongezwa. Akizungumza katika …

PROF MBARAWA: FIDIA ZITALIPWA KWA WANAOSTAHILI KISHERIA

    SERIKALI imesema itawalipa fidia kwa mujibu wa sheria wananchi wote waliopisha ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali ya nchi. Amesema hayo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati akizungumza na wananchi wa Mwigumbi mkoani Shinyanga alipokagua ujenzi wa barabara ya Mwigumbi – Maswa yenye urefu wa KM 50.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami na mkandarasi …

Watoto Wanne Waliofariki kwa Kukosa Hewa Garini Wazikwa

    Na Is-haka Omar, Zanzibar NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ ameshiriki katika mazishi ya watoto wanne waliofariki dunia baada ya kuingia kwenye gari iliyokuwa sehemu ya maegesho na likajifunga hali iliyopelekea watoto hao kukosa hewa na kufariki huko Kidongo Chekundu Unguja. Marehemu hao waliotambuliwa kwa majina ya Mwatma Mohamed Malawi (2), Haisam Mustafa(2), …

NMB YASHINDA TUZO YA BENKI BORA YA MAENDELEO AFRIKA 2017

  BENKI ya NMB PLC imeshinda tuzo mbili katika sherehe za utoaji wa tuzo wa benki bora duniani zilizofanyika Jijini London, Uingereza. NMB Imetajwa kwa mara ya kwanza kuwa ni Benki Bora ya Maendeleo Barani Afrika huku tuzo ya pili ikiwa ni Benki Bora Tanzania 2017 hii ni mara ya Tano Mfululizo. Kila Mwaka, Jarida la Euromoney huandaa hafla ya …