Alhamis Julai 20,2017 Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack amekutana na wawekezaji na wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kufahamiana na kujadili mambo kadha wa kadha ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika mkoa wa Shinyanga. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga na kukutanisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka …
TANZANIA YA UCHUMI WA VIWANDA ITAFANIKIWA KWA KILIMO CHA KITAFITI
Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Geofrey Ngupula akizungumza na maofisa ugani na waandishi wa habari ofisini kwake. Kaimu Mkurugenzi wa wilaya hiyo Hadija Kabojela akizungumza katika mafunzo hayo. Mtafiti wa Kilimo kutoka COSTEC, Bestina Daniel akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH. Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Onesmo Kisoka akizungumza kwenye mafunzo hayo. Mshauri …
UVCCM Yaonya, Waliohamia Upinzani Waache Kugombanisha Wastaafu
Na Mwandishi Wetu, Kigoma UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewakanya wanasiasa waliohamia upinzani toka CCM wanaoeneza maneno ya chuki na mifarakano kwa lengo la kuwagombanisha marais wastaafu washindwe na walegee kwasababu kila Rais mstaafu alitimiza haki na wajibu wake alipokuwa madarakani. Pia Umoja huo umeelezea kukerwa kwake na tabia ya baadhi ya viongozi wa upinzani ambao asubuhi hutamka maneno …
MAOFISA UGANI BUKOMBE WATAKIWA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA KILIMO
Mkuu wa wilaya ya Bukombe,. Joseph Maganga (kulia), akizungumza na maofisa Ugani wa Wilaya hiyo kwenye mafunzo ya kilimo cha mazao ya Mihogo,Pambana Viazi lishe yaliyoandaliwa na Tume yaTaifa yaSayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa la Bioteknolojia OFAB. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wa wilaya hiyo, Zacharia Bwile na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Baraka Maganga. …
JAFFO AONYA WATAKAOKWAMISHA JITIHADA ZA GREEN VOICES KUPAMBANA NA MAZINGIRA
Selemani Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi) akisikiliza maelezo kutoka kwa mama Abia Magembe kuhusu bidhaa zinazotokana na zao la muhogo. Kushoto kabisa ni Mratibu wa Mradi wa Green Voices kutoka Hispania, Alicia Cebada na kulia ni Mratibu wa mradi huo nchini Tanzania, Secelela Balisidya. NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani …
WILAYA YA GEITA KUTENGA MILIONI 50 KWA MAFUNZO KUBORESHA KILIMO
Picha ya pamoja. Maofisa ugani wakiwa kwenye mafunzo hayo. Mratibu wa Jukwaa la bioteknolojia kwa maendeleo ya kilimo nchini OFAB bwana Philbert Nyinondiakizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo. Mshauri wa Jukwaa la Masuala ya Bioteknojia OFAB, Dk.Nicholaus Nyange (kushoto), akitoa mada kuhusu matumizi ya Bioteknolojia katika kilimo. Na Dotto Mwaibale, Geita HALMASHAURI ya Wilaya ya Geita Mkoani Geita imesema itahakikisha …