Msanii wa Bongo flava na mfalme wa miduara AT, akiongelea utamaduni wa kiswahili na raha za pwani kwenye jopo la kongamano la raha za pwani kwa lengo la kudumisha na kutangaza utamaduni wa Mswahili na lugha yake na baadae kuonesha onesho kali ya nyimbo zake zilizotamba na zinazoendelea kutamba kwenye anga ya bongo na kimataifa. Kongamano hilo linaloambatana na tamasha …
HALMASHAURI YA IGUNGA YATAKIWA KUTENGA BAJETI KUINUA KILIMO
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya hiyo, Costa Ulomi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Bestina Daniel akizungumza wakati akielezea madhumuni ya mafunzo hayo. Mwakilishi wa Mkurugenzi wa wilaya hiyo, ambaye ni mtunza fedha, Gordon Dinda akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi. Mwakilishi wa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, …
TAWLA Yatoa Mafunzo Kushughulikia Watoto Walio Katika Ukinzani na Sheria
Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP), Bahati Ngoli akifungua mafunzo ya jinsi ya kushughulika na watoto walio katika ukinzani na Sheria ulioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (Tawla) Mkoani Tanga kwenye ukumbi wa Hotel ya Nyumbani mjini Tanga. Juma Abdallah kutoka Tawla Mkoani wa Tanga akitoa mada kuhusu wajibu wa familia na jamii kuzuia uhalifu wa watoto. Mwanasheria …
TGGA YAWAAGA GIRL GUIDES WA RWANDA, UGANDA NA MADAGASCAR
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi zawadi Girl Guides kutoka Uganda, Rachel Baganyire wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika …
Tigo Yakabidhi Darasa Shule ya Msingi Hachwi Wilayani Kondoa
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Sezaria Makutta akikata utepe kuashiria kupokea darasa lenye thamani ya shilingi milioni 8.5 lililojengwa na kampuni ya Tigo kwa shule ya msingi Hachwi wilayani Kondoa, wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata, Mkuu wa kitengo cha usimamizi na mahusiano na serikali kutoka Tigo, Sylvia Balwire na Meneja wa mahusiano na huduma za Jamii kutoka Tigo, …
‘Happy Birthday’ Mwanalibeneke Krantz Mwantepele
Tarehe 19 July Mwanalibeneke la blogu Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji wa KONCEPT , Mkurungezi Mtendaji wa ROGECH ANIMATIONS & VFX na pia Katibu wa Tanzania Blogers Network (TBN) kwa niaba ya wasomaji wetu tunapenda kukutakutakia maisha marefu na yenye baraka na fanaka tele. Mungu akupe maisha marefu na kukupa mwongozo sahihi kwa ndoto zako za kuweza kutengeneza …