Israel Yaweka Kamera za Ulinzi eneo Takatifu Jerusalem

  ISRAEL imeweka kamera eneo la kuingilia katika uzio wa Msikiti wa Al-Aqsa katika Mji mkongwe wa Jeruslem. Hatua hiyo imechukuliea wakati mvutano mkubwa kuhusiana na hatua za usalama kwenye eneo hilo, ambalo waislamu wanaliita Haram Al-Sharif na wayahudi wanaita Temple Mount. Waumini wa Palestina wamepinga vikali Israil kuweka mitambo ya kun’gamua kama mtu amebeba kitu cha chuma, baada ya …

Bunge la Marekani Laridhia Vikwazo Vipya Kuiadhibu Urusi

VIONGOZI kutoka vyama vyote katika Bunge la Marekani wamekubaliana kuhusu sheria ambayo inaruhusu vikwazo vipya kuiadhibu Urusi kwa kuingilia uchaguzi wa Marekani. Sheria hiyo pia itapunguza uwezo wa Rais Donald Trump wa kuiondolea Urusi vikwazo. Kipindi cha bwana Trump ofisini kimekumbwa na madai kuwa Urusi ilisaidia kushawishi uchaguzi wa mwaka uliopita. Urusi inakana kutenda lolote baya la uchunguzi kadha ambao …

Mwakilishi, Mbunge Jimbo la Tungu Wasaidia Ujenzi wa Soko la Samaki, Tindini

Wananchi wa Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu wakishirikiana na Mbunge wao na Mwakilishi katika ujenzi wa Taifa wa Soko la Samaki katika ufukwe wa Bahari ya Unguja Ukuu Zanzibar. Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Mhe Khalifa Salum Suleiman wakikabidhi mabati kwa Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi. Sauda Ramadhani, …

Matukio Tamasha la Castle Lite Unlocks, Leaders

Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.   Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.   Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo.   .Msanii toka Afrika kusini Casper Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa  la …

Utafiti Waonyesha Hoteli za Nyota Mbili na Tatu Hupendelewa Zaidi

Na Jumia Travel Tanzania JE ushawahi kupanga kwamba unataka kwenda kulala kwenye hoteli ya nyota ngapi? Ni vigezo gani ambavyo huwa unavitumia kutambua kwamba hoteli hiyo hadhi yake ni nyota fulani? Ni vigezo gani huja kwanza akilini pindi unapofanya uchaguzi wa hoteli hiyo? Ni maswali magumu ambayo mtu wa kawaida hawezi kuyajibu labda awe anajihusisha au kufanya kazi kwenye sekta ya …