TANZANIA YASHIRIKI MASHINDANO YA ROBOTI MAREKANI

Timu hiyo iliongozwa na wakufunzi wawili, Bi. Mkufu Shaban Tindi na Bi. Carolyne Eryarisiima.   Tarehe 19 Julai, 2017 Timu hiyo ilitembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzaniani Washington, DC nchini Marekani kwa ajili ya kusalimia na kujitambulisha.

Wakulima wa Mahindi Handeni Wanogewa na Mbegu za WEMA

                  Na Joachim Mushi, Handeni WAKULIMA wa Mradi wa utafiti wa mbegu bora chotara za mahindi zinazostahimili ukame (WEMA), wilayani Handeni wameiomba Serikali irekebishe sheria ya uzalishaji wa mbegu ili kutanua wigo wa uzalishaji mbegu kupitia taasisi za Serikali kama vile Jeshi la Kujenga Uchumi (JKT), Jeshi la Magereza pamoja na zinginezo …

Mbunge Jimbo la Tanga Ajitosa Sakata la Mgomo wa Daladala

Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani (RTO) Nassoro Sisiwaya akizungumza kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku.  Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akizungumza na waansdishi wa habari kuhusu namna halmashauri ilivyoweza kulitatua tatizo hilo mara moja kwa kupitisha greda kuichonga.  Kaimu DTO wa wilaya ya Tanga, Imani Raphael akizungumza katika tukio hilo la mgomo wa madereva hao. Kaimu DTO …

Benki ya NMB yafungua matawi mapya mikoa mitatu

    Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB imezidi kung’ara nchini huku ikifanikiwa kutanua mtandao wake kwa kufungua matawi mapya matatu katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Simiyu. Uzinduzi wa matawi hayo ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo kufunguliwa kwake kutaleta neema kwa wakazi wa maeneo hayo. Mkoani Kigoma benki hiyo ilizindua tawi jipya Wilaya ya Uvinza, Tabora (Igunga) katika …

MAOFISA UGANI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO KUWAELIMISHA WAKULIMA

 Ofisa Kilimo wa wilaya hiyo ya Uyui,  Deogratius Mwampinzi, akizungumza katika mafunzo hayo. Kushoto ni Ofisa Kilimo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora, Said Babu.  Ofisa Kilimo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora, Said Babu akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.  Mshauri wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Dk. Nicholaus Nyange akitoa mada kwenye mafunzo hayo. Mtafiti wa …