MGODI wa dhahabu wa Acacia Bulyanhulu (BGML) uliopo katika Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 26,2017 umekabidhi hundi yenye thamani ya Shilingi 460,732,841.08/= kwa ajili ya ushuru wa Huduma kwa halmashauri ya Msalala. Akizungumza wakati wa kukabidhi hundi hiyo,Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu Graham Crew alisema kiasi hicho ni asilimia 67 ya malipo ya …
Waziri Prof Magembe Awataka Wanahabari Kuendelea Kutangaza Utalii
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe amewapongeza waandishi wa habari kwa mchango wao kuendelea kutangaza utalii nchinikupitia vyombo vyao, na kuwaomba waendelee na uzalendo huo kwani kitendo hicho ni faida kwa taifa zima. Pongezi hiyo ameitoa leo jijini Tanga alipokuwa akifungua semina ya mwaka kwa wahariri na wanahabari waandamizi iliyoandaliwa …
WATAFITI WAOMBWA KUJIKITA KATIKA MAZAO YA CHAKULA
Mkurugenzi wa Halmshauri hiyo, Margareth Nakainga, akizungumza katika mafunzo hayo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Adam Malunkwi, akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa wilaya hiyo kufungua mafunzo hayo. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Paschal Byemelwa. Mshauri wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Dk. Nicholaus Nyange akitoa mada. Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa wilaya hiyo, Abdulusalam …
Bundi Aendelea Kuitafuna CUF, Lipumba Awafukuza Wabunge na Madiwani
BARAZA Kuu la Uongozi la CUF limewafukuza uanachama wabunge wanane wa viti maalum na madiwani wawili pia wa viti maalum. Miongoni mwa Wabunge hao wanane, ni pamoja na Kiongozi wa Wabunge wa CUF Riziki Shahali. Hayo yamesemwa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba wakati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam. Amesema wabunge na madiwani …
Wafanyakazi Benki ya NMB Kilosa wamnunulia mguu mtoto mlemavu
WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB wilayani Kilosa, Morogoro kwa kushirikiana na Kitengo cha Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) cha benki hiyo wametoa msaada kwa mtoto Sheila Bushiri (7) ambaye alizaliwa akiwa mlemavu wa mguu mmoja kufanyiwa upasuaji na kumnunulia mguu wa bandia ili aweze kutembea kama watu wengine. Akizungumza kuhusu msaada huo, Meneja wa tawi la benki …
MAOFISA UGANI WASIPEWE KAZI ZA WATENDAJI
Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Peres Magiri, akizungumza na maofisa ugani wa wilaya hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku moja kwa maofisa hayo yaliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa la Bioteknolojia kwa maendeleo ya kilimo nchini (OFAB), wilayani humo mkoani Tabora leo. Kutoka kushoto ni Mtafiti Bestina Daniel kutoka COSTECH, Ofisa Kilimo na Umwagiliaji wa wilaya …