Pacho Mwamba Atiliwa Sumu, Aharibika Vibaya…!

Pacho Mwamba baada ya kuharibika.

Pacho Mwamba baada ya kuharibika.

Pacho Mwamba alivyokuwa kawaida kabla.

Pacho Mwamba alivyokuwa kawaida kabla.

MWANAMUZIKI na muugizaji wa filamu nchini Tanzania Pacho Mwamba ameharibika vibaya mwilini baada ya kutiliwa sumu kwenye kinywaji chache hivi karibuni. Taarifa ambazo mtandao wa Thehabari umezipata ni kwamba Mwamba kwa sasa amevimba uso na kuharibika (kuvimba) baadhi ya sehemu za mwili wake baada ya kujikuta anatumia simu hiyo bila yeye kujua.

Chanzo cha kuaminika kinasema msanii huyo wa filamu na muzii inadaiwa alitiliwa sumu na wahasimu wake na ililenga kumdhuru kabisa, lakini hivi sasa anauguza majeraha ya sumu na hali yake ni mbaya kwa sasa. Kwa taarifa zaidi hapa hapa www.thehabari.com hapo baadae.