
Muonekano wa nyumba kwa mbele

Muonekano wa nyumba kwa ndani (bedrooms)
Maelezo ya nyumba husika:
- Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja master bedroom na viwili vya kawaida), dinning room, laundry na stoo.
- Ina simtanks 2 (lita 2000 na lita 1000).
- Iko ndani ya uzio na geti.
Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0763514988.