Nyimbo za Christmas Zinazotamba Duniani Kwa Sasa

christmas-balls-sun-red-background-33851056
Katika kipindi hiki cha Sikukuu kila kona unapopita utasikia nyimbo za Chrismas zinapigwa na hata wengine kudiliki kuzihifadhi kwenye simu zao zikitumika kama milio ya kuitia.
Thehabari inakuletea baadhi ya nyimbo zinazotamba kwa mwaka huu na kupendwa na watu wengi Duniani.

Silent Night” – The Temptations “This Christmas” – Donny Hathaway “Someday at Christmas” – Stevie Wonder “Give Love on Christmas Day” – Johnny Gill “Christmas Time is Here” – Charlie Brown
14485990829505
Nyingine ni “Let it Snow” – Boy II Men “All I Want for Christmas” – Mariah Carey “Rudolph the Red Nosed Reindeer” – The Jackson 5 “I Saw Momma Kissing Santa Claus” – The Jackson 5 “The Christmas Song” – Nat King Cole “Santa Baby” — Eartha Kitt,