NSSF Yatoa Semina kwa Taasisi za Kisheria Dar

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cresentius Magori, akizungumza wakati wa semina ya siku ya kuboresha huduma na mahusiano ya utendaji kati ya shirika hilo na taasisi za kisheria, iliyofanyika Dar es Salaam. Semina hiyo iliwahusu Mahakimu, Wanasheria na baadhi ya watumishi wa mahakama. (Picha na Mpigapicha Wetu)

Washiriki wa Semina ya siku moja ya kuboresha huduma na mahusiano ya utendaji, wakimsikiliza kwa makini mKkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi Ya Jamii (NSSF), Cresentius Magori (aliyesimama kulia). Semina hiyo iliwakutanisha mahakimu, wanasheria na baadhi ya watumishi wa mahakama. (Picha na Mpigapicha Wetu)