NSSF Yatoa Elimu kwa Umma Kuhusu Mafao na Huduma Mwanza

Baadhi ya wananchi wakisubiri kujiandikisha uanachama wakati wa zoezi maalumu la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF, ambapo zoezi hilo limeanza katika eneo la Buhogwa jijini Mwanza.

Baadhi ya wananchi wakisubiri kujiandikisha uanachama wakati
wa zoezi maalumu la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali
za NSSF, ambapo zoezi hilo limeanza katika eneo la Buhogwa jijini Mwanza.

Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amani Marcel (kushoto), akimkabidhi zawadi ya fulana mwanachama mpya wa NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji  elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF katika eneo la
Buhogwa jijini Mwanza. 

Baadhi ya wananchi wakiwa katika foleni ya kujiandikisha uanachama wa NSSF jijini Mwanza.