NSSF Yahairisha Mkutano Wake na Wadau

NSSF Yahairisha Mkutano Wake na Wadau

NSSF Yahairisha Mkutano Wake na Wadau


SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linasikitika kuwatangazia Wadau wake
wote na umma kwa ujumla kuwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu
Mkutano wa Tano wa Wadau uliokuwa ufanyike tarehe 5-7 Mei, 2015 jijini
Arusha umeahirishwa.
Tarehe mpya ya mkutano huo itatangazwa kwenye vyombo vya habari.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza.
Kwa maelezo zaidi tafadhali usisite kuwasiliana na Idara ya Uhusiano
na Huduma kwa Wateja au Meneja NSSF Mkoa wa osi ya NSSF iliyo karibu
nawe.