NSSF Yaelimisha Wajasiliamali Mwanza, Ni Kuhusu Huduma Zao

Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna Nguzo akitoa elimu kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji  elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF.

Ofisa Uandikishaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Kwandu Ikombe (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya wa NSSF katika eneo la Tanganyika Bus mjini Mwanza. 
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Aisha Sango akigawa vipeperushi vyenye taarifa kuhusu NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji  elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF.
Ofisa Masoko Mwandamiza wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amina Mmbaga akitoa elimu kuhusu NSSF kwa wanawake wajasiriamali wa kuuza viatu katika eneo la Tanganyika jijini Mwanza.